Uwoya Amponza Shamsa
STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford ameoga mvua ya matusi kutoka kwa baadhi ya mastaa wa Bongo Movies baada ya kusema hakuna staa mzuri wa kike kwenye tasnia hiyo kumzidi mwigizaji mwenzake, Irene Uwoya. Shamsa aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, haogopi matusi yao hata kidogo kwani anaonekana mbaya kwa sababu alisema ukweli ambao upo na wala […]
Read More..