-->

Irene Uwoya Afunguka Kuolewa na Dogo Janja

Post Image

Msanii wa filamu nchini Irene Uwoya amefunguka na kuweka wazi juu ya tetesi iliyopo mtaani kuhusu kuolewa na msanii wa muziki wa bongo fleva Dogo Janja na kusema ni kweli ameolewa na msanii huyo kwani ndiye mwanaume wa ndoto yake. Irene Uwoya kupitia mtandao wake wa Instagram amethibitisha hilo na kusema kuwa anampenda sana msanii […]

Read More..

Diamond, Giggy Money na Wema Sepetu…

Post Image

Maisha yetu yapo kuligana na mawazo yetu. Furaha yako maishani inategemea na ubora wa mawazo yako. Huwezi kumuweka kwenye kundi la vijana mabishoo. Ni mtoto wa kihuni. Hajali. Na kutokujali kwake ndiko kulikomfikisha pale alipo. Kifupi hasikilizi wala hana hofu na watu watasema nini. Ogopa sana mtu wa hivyo. Ndiyo Diamond Platinumz. Kuna wakati unajiuliza […]

Read More..

Wanadatisha: Wema Sepetu, Masogange, Sanchi...

Post Image

SIO mchezo, hapa duniani kuna watu wamependelewa bwana. Hapa tunazungumzia wanadada waliojaliwa sura na maumbile ya kike hasa ambayo yanadatisha baadhi ya wanaume. Baadhi yao kwa kutambua kuwa wameumbwa vema, hutumia fursa kujitosa kwenye fani ambazo zimekuwa zikiwatengenezea fedha, huku umaarufu wao ukizidi maradufu. Mwanaspoti linakuletea wadada 10 wakali wanaodatisha mashabiki wao ndani na nje […]

Read More..

Kisa cha Aslay Kuachia Nyimbo Nyingi

Post Image

ILINICHUKUA kama saa tano kuweza kukutana na Aslay. Mmoja ya waimbaji wanaokimbiza sana katika muziki wa kizazi kipya nchini. Saa nne zilipotea kwa kumsubiri na moja tu ndilo lililotumika kufanya naye mahojiano maalumu, bahati nzuri alikuwa muungwana kwa kutambua alinichomesha mahindi kwa muda na kuomba radhi. Ni wasanii wachache wanaobaini kosa kama hilo. Aslay wa […]

Read More..

Profesa Jay Aeleza Sababu za Ukimya

Post Image

BAADA ya mashabiki wake wengi kutaka kujua kwa nini yupo kimya kwenye anga la muziki, mkongwe Bongo Fleva ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mikumi, Morogoro, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ ameibuka na kuwaeleza kinachomsibu. Akipiga stori na baada ya kuulizwa sababu za kuwa kimya, Profesa Jay alisema bado anaweka mambo ya kifamilia sawa na […]

Read More..

Uchebe Afungukia ‘Honeymoon’ Ya...

Post Image

Mume mtarajiwa wa msanii ambaye ni mfano wa kuigwa kwa mabinti kutokana na juhudi zake za kupambana na maisha, Zuwena Mohamedi au Shilole, ameweka wazi matarajio ya kumpeleka Ulaya kula ‘honey moon’ mke wake huyo mtarajiwa. Akizungumza na mwandishi wa East Africa Radio, mwanaume huyo anayejulikana kwa jina la Uchebe, amesema ndoa yake na msanii […]

Read More..

Maswali 3 Ndoa Tata ya Irene Uwoya

Post Image

STAA wa filamu za Kibongo Irene Uwoya anafunga ndoa leo. Hiyo ni kwa mujibu wake mwenyewe, baada ya kutangaza kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii tangu mwanzoni mwa wiki hii. Uwoya mwenye sura na mwonekano wa kuvutia aliyeibuliwa na Filamu ya Division of Love akiwa na Yusuph Mlela ametangaza kufunga ndoa leo Jumamosi Oktoba 28, mwaka […]

Read More..

Bifu ya FA na Jaydee Imenitesa Sana – AY

Post Image

Msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva nchini AY amefunguka na kusema kuwa bifu kati ya msanii Mwana FA na Lady Jaydee yeye ilikuwa inamsumbua sana na kusema aliamini ipo siku wanaweza kumaliza tofauti zao. AY amesema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Friday Night Live (FNL) na kusema kuwa kwa kuwa yeye alikuwa ni rafiki […]

Read More..

Mh. Shonza Atoa Wito Huu kwa Bodi ya Filamu

Post Image

Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza ameitaka Bodi ya Filamu Tanzania kufanya utafiti na kukusanya takwimu sahihi za mapato yatokanayo na sekta ya filamu nchini ili kuweza kubaini sekta hiyo inavochangia katika pato la taifa. Mhe. Shonza ameyasema hayo Jijini Dar es Salaam alipofanya ziara katika Ofisi za Bodi ya Filamu […]

Read More..

Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe Afungukia Ishu...

Post Image

Waziri wa Habari,  Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amefunguka na kusema kuwa Mzee Majuto amedhurumiwa pesa milioni 25 na kampuni ya filamu ambayo jina lake amelihifadhi na kudai atatumia hata mshahara wake kuhakikisha anawafunga watu hao. Mwakyembe amesema hayo leo Oktoba 27, 2017 alipokutana na wasanii mbalimbali kujadili changamoto za kazi ya sanaa nchini na kusema […]

Read More..

Pichaz: Joti Kwenye Send off ya Mchumba Wak...

Post Image

Mchekeshaji maarufu Joti yupo njiani kuuaga ukapela baada ya leo kuonekana kwenye sherehe za kuagwa kwa mchumba wake. Kupitia kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram joti amethibitisha kuwatukio hili sio tangazo bali ni kweli “Mala paaah??? Walijua Tangazo la TIGO kumbe kweli?????”

Read More..

Mzee Majuto Awapa Changamoto Hii Bongo Movi...

Post Image

Msanii mkongwe wa filamu Bongo, King Majuto amewataka wasanii ambao wapo katika tasnia hiyo kufanya kazi zenye ubora ili kufikia mafanikio kama yake. Muigizaji huyu ambaye alitangaza kustaafu kuigiza ameiambia Azam Tv kuwa kwa sasa hivi wasanii wanapendwa na serikili inawatambua hivyo watumie fursa hiyo kufanya kazi. “Kwa hiyo msichoke, fanyeni jitihada, tengenezeni michezo yenye […]

Read More..

Hukumu ya Lulu Kutolewa Novemba13

Post Image

Kesi inayomkabili Elizabeth Michael ambaye ni muigizaji wa filamu bongo ya kuua bila kukusudia, inatarajiwa kufikia hatma yake baada ya Mahakama kusema kuwa hukumu itatolewa Novemba 13, 2017. Kesi hiyo ambayo imesikilizwa na Mahakama Kuu ya Tanzania, imesema imemkuta Elizabeth Michael na hatia ya kumuua bila kukusudia muigizaji mwenzake Steven Kanumba ambaye alikuwa mpenzi wake, baada […]

Read More..

Lulu Atimua Mbio Mahakamani, Baba Yake Atoa...

Post Image

MUIGIZAJI wa Bongo Movie, Elizabeth Michael ‘Lulu’, ametimua mbio katika viunga vya Mahakama Kuu Kanda Maalum ya Dar es Salaam alipokuwa amekwenda kwa ajili ya kusikiliza muendelezo wa kesi yake ya kuuwa bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Charles Kanumba. Lulu aliwakimbia waandishi wa habari waliokuwepo mahakamani hapo huku baba ake mzazi aliwazuia waandishi wa habari kumpiga picha Lulu. […]

Read More..

Harmorapa Awajabu Wanaomtafuta

Post Image

Msanii ambaye hakauki vituko mitandaoni Harmorapa, amewajibu watu wanaomsema kuwa amepotea pamoja na kiki zake zote, na kusema kwamba hajapotea isipokuwa yuko busy na biashara. Harmorapa ameyasema hayo leo kwenye eNewz ya East Africa Television, na kusema kwamba watu wanatakiwa wajue licha ya muziki Harmorapa ana maisha yake mengine ambapo pia ni mfanyabiashara, na sasa […]

Read More..

Shamsa Ford Amtia Moyo Lulu

Post Image

ALHAMISI wiki hii kesi inayomkabili staa wa filamu za kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anayedaiwa kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven Kanumba, Aprili mwaka 2012, ilianza kusikilizwa tena kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam huku mashahidi mbalimbali wakitoa ushahidi wao.     Moja ya mastaa waliomtia moyo, Lulu ni Shamsa Ford ambaye alimtaka mrembo […]

Read More..

Siataki Kulazimisha Umaarufu-Diana

Post Image

MOJA ya changamoto kubwa inayowakabili baadhi ya mastaa nchini ni kushindwa kuwa na mfumo unaoendana na nafasi zao, kisa umaarufu na kujikweza kupindukia. Lakini mwigizaji Diana Kimaro, anayeigiza filamu na Elizabeth Michael ‘Lulu’, amefichua kuwa hapendi kuanika mambo yake hadharani, akikiri ni mtihani kwake. “Sitaki kufanya ‘interview’ kwa sababu sitaki kulazimisha umaarufu, sipendi kuandikwa andikwa […]

Read More..

Baba Mzazi wa Lulu Akataa Posa ya Lulu

Post Image

Baba Mzazi wa muigizaji wa filamu bongo Elizabeth Michael, Mzee Michael Kimemeta, amekataa kupokea posa ya binti yake huyo ambaye amekuwa akiwatoa udenda wanaume wengi kwa urembo wake. Mzee Kimemeta amefunguka hayo alipokuwa akipiga stori na Big Chawa kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kwamba hatopokea posa ya mwanaume atakayekwenda kumuoa Lulu, […]

Read More..