Mbu mwenyewe anaweza kuondoa malaria
Mbu mwenyewe anaweza kuja ondoa malaria. Je, ni kweli? Tafiti ndio zinasema, endelea hapa chini Kila mwaka, watu bilioni 3.2 wako katika hatari ya kuamukizwa malaria kutoka kwa mbu walioambukizwa na vijidudu vinavyosababishwa malaria. Lakini labda si kwa muda mrefu tukajasikia malaria imefutika kabisa. Sio ajabu tukasikia mtu anasema hii itakuwa ni uongo,ndoto au haitawezekani […]
Read More..