Wema Sepetu Amrushia kijembe Diamond!
SIMBA! Kufuatia lile sakata la jina la mnyama Simba ambapo Diamond amekuwa akijiita jina hilo siku za hivi karibuni na msanii Mr Blue kudai kuwa alilianzisha yeye kujiita simba huku mkongwe Afande Sele akisisitiza yeye ndiyo samba dume, mastaa wengi wa hapa bongo wamekuwa wakijiita majina ya wanyama ikiwa ni namna moja ya kuchombeza sakata […]
Read More..