-->

VIDEO MPYA VideoMPYA: Ni time ya kuitazama ...

Post Image

  Nazidi kukusogezea karibu ngoma mpya za kutazama  na time hii nakusogezea nyingine kutoka kwa staa wa muziki wa Bongo FlevaMaua Sama ambaye anakualika kuitazama“Nakuelewa” Bofya “PLAY” kuitazama

Read More..

Haya ndio maamuzi aliyoyafanya Shilole

Post Image

Story inayo-trend kwenye mitandao ya kijamii ni hii baada ya Wema Sepetu ku-post picha ya ua rose jekundu  na kuwa tofauti na wengine hii ni kutokana na  wengi kuzoea kuona ua jeusi ku-trend na kutafsriwa kama ishara ya penzi kuvunjika. Ila kwa upande wa staa wa muziki Shilole “Shishi baby” ameamua kuja na maamuzi yake juu ya ua lake […]

Read More..

Mama Uwoya Afunguka Mapya Kuhusu Ndoa ya Ir...

Post Image

Dar es Salaam. Mama yake, Irene Uwoya, Neema Mrisho amesema hampendi Dogo Janja kwa sababu msanii huyo hana adabu. Ameyasema hayo ikiwa ni siku chache baada ya Irene Uwoya kusema ameshindwa kumpeleka Dogo Janja kwa wazazi wake, kutokana na kuwa mama yake kuwa mtu wa kusafiri mara kwa mara. Akizungumza na MCL Digital leo Machi […]

Read More..

Shilole na Uchebe wafunguka kuhusu ndoa kuv...

Post Image

Msanii wa muziki bongo ambaye kwa sasa mjasiriamali anayehakikisha matumbo ya watu yanapata afya, Shilole au Shishi Trump, hatimaye amefunguka kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake na mume wake Uchebe. Akizungumza na mwandishi wa EATV Shilole amesema hajaachana na mume wake na wala hawafikirii kuachana. Kwa upande wa mume wake Shilole Bwana Uchebe amesema sio kweli […]

Read More..

VIDEOMPYA : Diamond platnumz akishirikishan...

Post Image

Leo tarehe 16 march,2018 msaani wa bongo, Diamond platnumz ameachilia nyimbo mpya akishirikishana na msaani wa marekani, Omarion. Ngoma hii inaitwa  “AFRICAN beauty”. Unaweza kuangalia video hii hapa bila shida yoyote Bofya hapa chini kutazama video hi

Read More..

Vazi la wolper yaleta gumzo.

Post Image

Usiku wa Vikings uliofanyika King Solomon siku ya Jumamosi March 10,2018 mastaa mbalimbali walijitokeza kushuhudia kile ambacho Papii Kocha na baba yake Babu Seyawaliandaa  baada ya kutumikia miaka 13 jela. Ukiongelea aina ya nguo”Fashion” ambazo mastaa walivaa usiku wa Vikings basi hauwezi kuacha kumtaja muigizaji Jacquline Wolper ambaye nguo yake ilizua maneno mengi katika mitandao ya kijamii ambapo wengi walisema kuwa amevaa parachuti. Kupitia mtandao wa snapchat wa Jacquline […]

Read More..

VIDEOMPYA: Jux atuletea ngoma mpya “FIMBO”

Post Image

Tarehe 15 march,2018 Staa wa muziki wa R&B Juma Jux time hii anakusogezea video mpya ya kuitazama“Fimbo” akiwa kasimama mwenyewe kwenye ngoma hiyo ili kuburudika. bofya “PLAY’ KUTAZAMA VIDEO HII.

Read More..

Irene Uwoya ampa onyo Dogo Janja”Thubutu ...

Post Image

Kupitia mitandao ya kijamii kumekuwa na taarifa kuwa msanii Dogo Janja ana mpango wa kuongeza mke wa pili baada ya kufunga ndoa na muigizaji Irene Uwoya ambapo ndoa hiyo ilifungwa mwaka jana 2017 ingawa mashabiki hadi sasa hawaamini kuhusu ndoa hiyo. Kupitia mtandao wa instagram wa Irene Uwoya ameonekana kupata taarifa ambazo zimekuwa zikisambaa kwenye […]

Read More..

Napewa mabusu kama mtoto wa njiwa – Riyam...

Post Image

Msanii wa Filamu Bongo, Riyama Ally amesema moja ya tabia zinazomchanganya kutoka kwa mume wake, Leo Mysterio ni kupewa mabusu ya kila mara. Muigizaji huyo ameiambia Times Fm kuwa kitendo kimekuwa kama mfumo wa maisha yao kwa sasa. “Naona kama ananiibia, mabusu yale, ana mabusu huyu kulamba lambana kama majibwa,” amesema Riyama. “Nikirudi tu, huko […]

Read More..

VideoMPYA: Rapper Rosa Ree katuletea “Mar...

Post Image

Rapper wa kike maarufu nchini Rosa Ree anakuletea ngoma yake mpya kabisa ijulikanayo kwa  jina la “Marathon” akiwa kamshirikisha Bill Nass.  Chini ni video ya wimbo wakwe mpya unakaribishwa kuitazama:      

Read More..

VIDEOMPYA: Dogo Janja- WAYU WAYU

Post Image

Muimbaji wa Bongofleva Dogo Janja baada ya jina lake kuchukua headlines , March 9 2018 baada ya kupost cover ya wimbo wake wa WAYU WAYU akiwa kavaa mavazi ya kike na amepaka lipstick, usiku wa March 9 2018 ameamua kuachia video hiyo rasmi.    

Read More..

Johari kutinga bungeni 2020

Post Image

Blandina Chagula maarufu Johari mwanadada ambaye amewahi kutamba kwenye tasnia ya maigizo na filamu nchini ameweka wazi kuwa ana mpango wa kugombea Ubunge kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2020. Johari ambaye kwasasa ni mmoja wa Wakurugenzi wa kampuni ya filamu ya RJ huku yeye akiwa hashiriki sana kwenye filamu kwasasa kama muigizaji amefunguka kuwa muda ukifika […]

Read More..

Matano (5) Usizozijua Kuhusu Baunsa wa Diam...

Post Image

SUALA ya ulinzi halina mjadala kwa watu maarufu kwani humuweka msanii kwenye nafasi nzuri zaidi ya usalama anapokuwa kwenye shughuli zake za kikazi. Ndiyo maana nyota wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amelitambua hilo na mara zote huwa anaambatana na baunsa wake, Mwarabu Fighter, ‘jitu’ la miraba minne lililojengeka misuli kwa ulinzi anapokuwa kwenye […]

Read More..

Nyimbo nyingine zaidi kufungiwa

Post Image

Siku tano baada ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kusitisha kuchezwa kwa nyimbo 15 zisizokuwa na maadili, zikiwemo mbili za msanii Nassib Abdul maarufu Diamond, Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limesema hivi karibuni litatoa orodha ya nyimbo nyingine zitakazofungiwa. Akizungumza na MCL Digital leo Machi 5, 2018 katibu mtendaji wa Basata, Godfrey Mngereza, amesema […]

Read More..

Wolper: Sijawahi Kuumia Kuachana na Mpenzi

Post Image

STAA wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa licha ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanaume tofauti na kubwagana nao, kamwe hajawahi kuumia kuachana nao. Akichonga na Showbiz Xtra, Wolper alisema alikuwa na kawaida ya kuwaanika wanaume aliokuwa akiingia nao kwenye uhusiano ili watu wote wajue akidhani itakuwa ngumu kusalitiwa lakini ikawa kinyume […]

Read More..

Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu atoa neno kw...

Post Image

Wasanii wa filamu nchini wametakiwa kuzingatia maadili na nidhamu ili waweze kufanikiwa katika kazi zao. Rai hiyo imetolea na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania, Joyce Fissoo alipokuwa akiwasilisha mada katika kikao kazi cha maafisa Utamaduni na wadau wa tasnia ya filamu wa mkoa wa Arusha iliyofanyika jana Jijini Arusha. Mama Fissoo alisema kuwa […]

Read More..

Wastara Aelezea Mpasuko Kwenye Fuvu la Kich...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Wastara Juma amefunguka na kudai baada ya kufanyiwa vipimo vyote nchini India amebainika kuwa na tatizo kwenye fuvu lake la kichwa ambapo hilo ndio lililokuwa likimfanya akose usingizi hapo awali bila ya yeye kujitambua. Wastara ameeleza hayo mara alipowasili katika ardhi ya Tanzania akiwa anatokea nchini India ambako alienda kufanyiwa matibabu […]

Read More..

Ray, JB Waapa Kutoana Meno Pasaka!

Post Image

WAKALI wa filamu za kibongo nchini, Vicent Kigosi ‘Ray’ na Jacob Stephen ‘JB’ wameapa kupasuana vilivilivyo katika pambano la raundi nane ambalo siyo la ubingwa lilipangwa kufanyika usiku wa pasaka kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro. Mbali ya manguli hao wa filamu nchini kutoka katika kiwanda cha Bongo Muvi, Bondia Twaha Hassan wa Morogoro  ‘Kiduku’ anatarajia kuzichapa dhidi ya Chimeme Chiota  […]

Read More..