-->

Alikiba Amzungumzia Mange Kimambi

Post Image

Alikiba ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake wa ‘Seduce me’ amefunguka na kusema kuwa Tanzania kila mtu ana haki na uhuru wake hivyo hata yeye anajisikia vizuri kuona watu maarufu wanapenda kazi zake na kudai ana haki ya kupendwa na Mange Kimambi Alikiba amedai kuwa Mange Kimambi ni moja kati ya mashabiki zake na […]

Read More..

VideoMpya: KALA JEREMIAH – KIJANA (Of...

Kala Jeremiah leo kaja na kibao kipya cha nyimbo inayojulikana jina la  ‘kijana’ ambayo aliahidi kuitoa siku chache zilizopita.

Read More..

Breaking : Raila Odinga ajitoa kushiriki Uc...

Post Image

Kiongozi Mkuu wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, leo October 10, 2017 ametangaza kutoshiriki kwenye uchaguzi mkuu ambao uliamriwa na mahakama kurudiwa October 26 mwaka huu. Uchaguzi huo wa tarehe 26 utakuwa ni marudio ya uchaguzi mkuu, baada ya mahakama ya juu nchini Kenya kufuta matokeo ya uchaguzi wa tarehe 8 mwezi Agosti mwaka huu.

Read More..

Rammy Galis na Rado Wametoleana Mapovu

Post Image

WAIGIZAJI wawili kutoka Bongo Muvi, Rammy Galis pamoja na Rado wametoleana mapovu mazito huku Rado akisema kuwa Ramy kwake ni msanii mdogo sana. “Kwanza Rammy amefanya filamu nje, hiyo sio Bongo Muvi hivyo mimi nafanya kitu halisia kutoka Tanzania na kingine Rammy ni msanii mdogo sana huwezi nishindanisha nae yeye ni viwango vya kina Gabo […]

Read More..

Duma: Gabo Zigamba Kabweteka

Post Image

Msanii wa filamu za bongo Duma amefunguka na kusema kuwa msanii mwenzake wa filamu za bongo, Gabo Zigamba amebweteka kwani hakuna kazi anazofanya na kusema yeye hawezi kumuamsha mtu aliyelala. uma alisema hayo siku kadhaa zilizopita wakati akizindua filamu yake ya ‘Bei kali’ na kusema kuwa wao walimualika Gabo aweze kufika kwenye uzinduzi huo lakini […]

Read More..

Alphonce Simbu ndani ya wanariadha 40, 800 ...

Post Image

Mbio za Chicago Marathon zilizofanyika nchini Marekani leo hii 8/10/2017 zimemalizika zikiwashirikisha wanariadha 40,800 kutoka nchi mbali mbali duniani akiwemo mshiriki kutoka Tanzania ndugu Alphonce Simbu ambaye alishikiri mashindano hayo makubwa duniani .   Kwa upande wa wanaume Mshindi katika Mashindano hayo alikuwa mwanariadha kutoka Marekani akifuatiwa na wanariadha wawili kutoka Kenya walioshika nafasi ya […]

Read More..

Wanafunzi wazawadia Magari baada ya kufanya...

Post Image

Mkurugenzi wa Shule za Sekondari za Waja Mkoa wa Geita, Eng. Chacha Wambura amewazawadia magari wanafunzi wake waliohitumu Kidato cha Sita katika Shule za Sekondari Waja Girls baada ya kufanya vizuri katika masomo yao. Kutoka kwenye tovuti ya shule, zawadi imekuja baada ya wanafunzi hao kuwa katika “TOP 10” ya wanafunzi waliofanya vizuri katika kidato […]

Read More..

Wolper Afunguka kuachana na Brown

Post Image

Msanii Jackline Wolper ambaye hivi karibuni amekumbwa na tetesi za kuachana na mpenzi wake, amekanusha taarifa hizo na kusema kwamba wakiachana mashabiki wake watajulishwa. “Watanzania wamezoea sana Instagram, usipompost bwana wako basi mmeachana, hawajui hata kama watu mumepata deal, mmeingia mikataba, hautakiwi kuweka mapicha ya mapenzi, mpaka wanataka utoe siri sasa, kuna issue siwezi kuiongelea, […]

Read More..

Kesi ya Wema Ngoma Bado

Post Image

KESI inayomkabili, Wema Sepetu bado mbichi. Hii ni baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana Jumatano kukwama kutoa uamuzi wa kupokea au kutopokea kielelezo cha hati ya ukamataji mali, nyumbani kwa Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006. Hatua hiyo imetokana na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, kutomaliza kuandaa uamuzi, hivyo kuahirisha kesi hiyo hadi […]

Read More..

Diamond Kupandishwa Kizimbani Kisa Matunzo ...

Post Image

Mwanamuziki Diamond Platnumz amepelekewa wito wa kuitwa Mahakama ya Watoto na mzazi mwenzake, Hamisa Mobetto kwa madai ya kushindwa kumuomba radhi na kutoa matunzo ya mtoto. Wito huo wa Diamond umewasilishwa na mawakili wa Mabetto, Abdullah Zulu na Walter Godluck kutoka Kampuni ya Uwakili ya Century Attorneys. Katika wito huo Diamond Platnumz anadaiwa kumdhalilisha na […]

Read More..

Wema Amuachia Mungu Swala la Kupata Mtoto

Post Image

STAA mwenye jina kubwa nchini katika Bongo Movie, Wema Sepetu amesikia kauli za mashabiki wake kuhusu kushindwa kupata mtoto mpaka sasa, lakini amewaambia hata yeye anaumia, ila hajakata tamaa kuitwa mama. Wema alisema sio kama hajahangaika au eti ameridhika kuishi bila mtoto, isipokuwa jitihada zake zimekwamishwa na bahati na sasa ameamua kumwachia Mungu amfanyie miujiza […]

Read More..

Nay wa Mitego Afungukia Bifu la Diamond na ...

Post Image

Msanii Nay wa Mitego amesema ugomvi/mvutano wa Diamond ana Alikiba haujaathiri wimbo wake hata mmoja. Nay ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma Makuzi ameiambia Dj Show ya Radio One kuwa kipimo cha ngoma zake kufika mbali ni pale anapokuwa kwenye show au mapokezi ya watu mtaani ila mambo ya mtandaoni hayaathiri chochote. “Ni wimbo […]

Read More..

Duma Afungukia Kufanya Uchafu na Uwoya

Post Image

MUUZA nyago kwenye muvi za Kibongo, Daud Michael ‘Duma’ juzi kati alipobanwa juu ya kufanya uchafu na muigizaji mwenziye Irene Uwoya kwenye muvi ya Bei Kali kwa kunyonyana ndimi na midomo hadharani alisema kuwa huo si uchafu bali walikuwa kazini na walitakiwa kuonesha uhalisia zaidi.   Akipiga stori na gazeti hili, Duma aliendelea kuwa muvi […]

Read More..

Wema Sepetu Afungukia Ishu ya Umri Wake

Post Image

Msanii wa filamu nchini ambaye pia alishawahi kutwaa taji la mrembo wa Tanzania Wema Abraham Sepetu, amewacharukia na kuwajibu watu wanaoendelea kumsema vibaya kuhusu umri wake sahihi. Akizungumza na mwandishi wa East Africa Television, Wema Sepetu ambaye hivi karibuni amesherehekea siku ya kuzaliwa na kutimiza miaka 29, amesema kama wao ndio wamemzaa basi umri wanaotaja […]

Read More..

Wastara Afungukia Ishu ya Kufumaniwa (Video...

Post Image

Msanii wa filamu Bongo, Wastara ameelezea kisa kizima cha video aliyosambaa katika mitandao ambayo imekuwa ikidaiwa kuwa msanii huyo alifumaniwa.

Read More..

Watu 50 wauawa, 200 wajeruhiwa Las Vegas

Post Image

Zaidi ya watu 50 wameuawa huku takriban watu 200 wakijeruhiwa katika tukio la ufyatulianaji risasi kwenye tamasha mjini Las Vegas. Mtu mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 64 akiwa amejihami kwa bunduki na mkazi wa Stephen Paddock, alifyatua risasi kutoka ghorofa ya 32 ya hoteli ya Mandalay Bay akielekeza mtutu kwenye ukumbi wa wazi […]

Read More..

Ommy Dimpoz: Naijua Sababu ya Baraka Kutoka...

Post Image

MSANII wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz, anayetamba na wimbo wake mpya wa Cheche amefunguka juu ya sakata lake na Baraka Da Prince, kuwa sababu ya msanii huyo (Da Prince) kutoka katika Label ya RockStar400 ni kutokana na Ommy Dimpoz kujiunga na Label hiyo. Ommy Dimpoz amsema si kweli kwamba yeye kuingia RockStar4000 ndiyo sababu ya […]

Read More..

Wema Sepetu Aibua Mtandao wa Diamond Unaomg...

Post Image

DIAMOND Platnumz bado moto. Anaendelea kutengeneza headline kwenye vyombo vya habari vya ndani na nje ya Bongo. Magazeti, redio, televisheni na hata mitandao ya kijamii havina uwezo wa kumkwepa.   Anaandikika. Wakati juzi usiku akidondosha singo yake mpya inayokwenda kwa jina la Hallelujah ambayo amefanya kolabo na Morgan Heritage, kundi la Wajamaika walioshinda Tuzo ya […]

Read More..