Ben Pol Amzimikia Mwanamke Huyu

Msanii Ben Pol amesema kitu pekee anachokiangalia kwa mwanamke ambaye ataweza kumzimikia na kuwa naye kimapenzi ni lazima awe anajiamini pindi wakiwa wanaongea au hata wakiwa wana-chat. Ben Pol amefunguka hayo baada ya kupita siku chache tokea aliyekuwa anadaiwa kutoka naye kimapenzi ambaye ni msanii wa vichekesho nchini Anastazia Kisaveli ‘Ebitoke’ kulalamika kwamba hapokelewi simu yake […]
Read More..