-->

Irene Paul: Sikuingia Kwenye Ndoa Kama Fash...

Post Image

UKITAJA waigizaji wanaojua nini wanapaswa kufanya mbele ya kamera na kuzitendea haki nafasi anazopewa kuigiza, basi huwezi kumuweka kando mwanadada Irene Paul, ambaye amecheza filamu nyingi, lakini msanii huyu alipotea kidogo baada ya kushika ujauzito ambao Mwenyezi Mungu amembariki na sasa ana mtoto wa kike, aliyempa jina la Wendo.   Staa huyo amecheza filamu kama […]

Read More..

Kesi ya Wema Sepetu Bado Ngumu

Post Image

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es Salaam inatarajia kutoa uamuzi wa kupokea ama kutopokea kielelezo cha hati ya ukamataji nyumbani kwa Wema Sepetu ifikapo Oktoba 4, 2017. Hatua hiyo inatokana na kuwasilishwa kwa pingamizi mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba kutoka kwa wakili wa utetezi , Peter Kibatala, kwamba kielelezo hicho kina […]

Read More..

Gabo Afunguka Kuhusu Bifu

Post Image

MKALI wa Filamu za Bongo, Gabo Zigamba, amesema wasanii kuendekeza bifu ni dalili za kujimaliza kabisa na kukosa ubunifu kwenye kazi zao. Hivi karibuni msanii huyo amejikuta katika ugomvi na msanii mwenzake, Daudi Michael maarufu kama Duma kutokana na kila mmoja kumlalamikia mwenzie kushindwa kuitendea haki tasnia hiyo. Gabo amesema kuendelea kuzozana na Duma ni […]

Read More..

Irene Utamu Mwanzo Mwisho

Post Image

NYOTA wa filamu nchini, Irene Uwoya ametamba kuwa, kipaji alichonacho ni cha kipekee kwani licha ya kuwa zilipendwa, lakini bado hachuji akiendelea kukamua kana kwamba kaianza fani juzi tu. Irene alisema kuthibitisha kuwa kipaji chake ni cha pekee ni jinsi alivyoingia kwenye fani na kunyakua tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike Chipukizi mwaka 2008 ya […]

Read More..

Alichosema Jaydee kuhusu Tundu Lissu

Post Image

Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye leo ameachia kazi yake mpya ya ‘I miss you’, ametoa maoni yake juu ya hali ya sasa inayoendelea hapa nchini, ikiwemo matukio ya kupigwa na risasi kwa Tundu Lissu na Meja Jenerali Mstaafu Vicent Mritaba. Akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, Lady Jaydee […]

Read More..

Uongo Unaangusha Bongo Movie – Patcho Mwa...

Post Image

MUIGIZAJI wa filamu Bongo Patcho Mwamba amefunguka kuwa tabia ya uongo kwa baadhi ya wasanii wakubwa katika tasnia ya filamu kunakimbiza baadhi ya wawekezaji katika tasnia ya filamu Bongo, kwani wengi si wakweli na udanganya kila mtu kuanzia wao kwa wao hadi matajiri. “Unaenda location na nguo viatu kibao ili usipate shida ukiondoka unaangalia hakuna […]

Read More..

Ebitoke Yeye na Ben Pol tu

Post Image

MCHEKESHAJI Ebitoke bado amemng’ang’ania mfalme wa R&B nchini, Ben Pol akidai anaendelea kumtunzia usichana wake hadi atakapokuja kuolewa na mwimbaji huyo. Ebitoke amekuwa akisema kila mara kwamba huwa anaumia roho anaposikia msichana anajitangaza kuwa ni mpenzi wa Ben Pol kwa madai kwamba lengo lake ni kuja kuolewa na kujenga familia na mkali huyo wa R&B. […]

Read More..

Mc Pilipili Apata Ajali Nakulazwa Bugando

Post Image

Mchekeshaji maarufu nchini, Emmanuel Mathias maarufu Mc Pilipili amepokewa katika kitengo cha dharura cha Hospitali ya Rufaa Bugando, Mwanza baada ya kupata ajali mkoani Shinyanga. Ofisa uhusiano wa hospitali hiyo, Lucy Joseph amethibitisha kupokewa Mc Pilipili na amesema taarifa zaidi kuhusu hali yake zitatolewa baadaye. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Simon Haule akizungumzia ajali […]

Read More..

Shahidi Kesi ya Wema Asema Bangi Ilikutwa J...

Post Image

SHAHIDI upande wa serikali kesi ya Wema Sepetu kutuhumiwa kutumia madawa ya kulevya amesema msokoto wa bangi ulikutwa ukiwa kabatini jikoni kwake. Hayo yamesemwa na ofisa wa ofisi ya Mkuu wa Upelelezi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Inspekta Willy akimweleza Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, wakati akiongozwa na Wakili wa Serikali, Constantine Kakula. Inspekta Willy anakumbuka Februari 4, mwaka huu aliitwa […]

Read More..

Haya Mapya ya Lady Jaydee

Post Image

Msanii wa kike kwenye game ya bongo fleva mwenye majina lukuki ikiwemo Komando, dada wa bongo fleva, Anaconda lakini lake rasmi la kisanii ni Lady Jay Dee, anatarajia kuachia wimbo wake mpya hapo le. Kwa muda msanii huyo amekuwa akiweka post za kuhesabu siku ili kutuambia kile ambacho amekikusudia kwenye ukurasa wake wa Instagram, na […]

Read More..

Lameck Ditto: Siyo Vizuri Kutangaza Mabaya ...

Post Image

UKITAJA orodha wasanii wa Bongo wenye hadhi ya kuwa wanamuziki basi jina la Dotto Bwakeya ‘Lameck Ditto’ ni lazima liwemo. Mwimbaji huyu wa Moyo Sukuma Damu amekamilika kila idara yaani mbali na kuimba ni mtunzi na mpigaji wa ala za muziki. Ni wasanii wachache sana Tanzania wenye uwezo wa kutumbuiza mubashara (live) kwenye jukwaa. Ditto […]

Read More..

Lulu: Kama Ndoa Amepanga Mungu Ipo Tu!

Post Image

STAA wa sinema za Kibongo ambaye pia alikuwa msanii wa kwanza kuigiza akiwa na umri mdogo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, kwa mara ya kwanza amefunguka kila kitu chake hadharani ambacho wapenzi wake wengi wamekuwa wakijiuliza bila majibu. Akizungumza na Over Ze Weekend, Lulu amesema kuwa kujiamini ndiko kumemfikisha hapo alipo, ungana nami katika makala haya; Over Ze Weekend: Watu […]

Read More..

Mzugu Wangu Bado Mbichi- Ray Kigosi

Post Image

Msanii wa filamu nchini Ray Kigosi amefunguka na kumpa sifa mzazi mwenzake Chuchu Hansy ambaye leo alikuwa anasherekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kuwa bado ni mbichi licha ya kujifungua siku za karibuni. Ray Kigosi amesema hayo kupitia mtandao wake wa Instagram na kusema licha ya mrembo wake huyo kujifungua lakini hajabadilika kama ambavyo huenda […]

Read More..

Nay wa Mitego: Nilishinda Njaa Siku Nne Huk...

Post Image

UKISIKIA staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki (Nay wa Mitego) amechia ngoma mpya ni lazima utaitafuta ili usikie kilichoibwa na rapa huyo hata kama huna mapenzi na muziki. Bosi huyo wa lebo ya Free Nation ametengeneza mazingira ya kusikilizwa na mashabiki wake tofauti na wasanii wote. Mapema wiki hii rapa huyo anayetamba na ngoma yake […]

Read More..

Rayvanny awabwaga WizKid, Davido tuzo za Af...

Post Image

Mmoja wa wasanii wanaounda lebo ya Wasafi (WCB), Raymond Shaban maarufu Rayvanny ametwaa tuzo ya African Act of The Year zinazotolewa na Uganda Entertainment Awards. Kwa ushindi huo, msanii huyo amewabwaga Wizkid na Davido wa Nigeria na Vanessa Mdee wa Tanzania. Rayvanny ameshinda tuzo hiyo ikiwa ni miezi michache tangu Juni 24, alipoandika historia katika […]

Read More..

Richie Awapa Neno Wapiga Picha za Utupu

Post Image

Msanii wa filamu za kibongo Single Mtambalike maarufu kwa jina la Richie, ametoa sababu ya wasichana wengi sasa hivi kukimbilia kufanya ‘video vixen’ ambako hutumia kama kivuli cha kufanya mambo machafu, tofauti na kipindi ambacho wao walianza sanaa. Akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio walipokuwa wanatambulisha kipindi chao kipya cha […]

Read More..

Shilole na Uchebe Msituchoshe Mashabiki

Post Image

PENZI jipya la mwimbaji nyota wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na mshikaji anayejulikana kwa jina la Ashraf Uchebe, wiki hii limetikisa mitandao ya kijamii. Sababu kubwa ya wawili hao kugonga vichwa vya habari za burudani nchini ni baada ya kuibuka ukurasa mmoja katika mtandao wa Instagram, uliotumia jina la @official_uchebe kuandika maneno yaliyoonyesha mateso […]

Read More..

Wema Sepetu abadili uamuzi wa kung’oa kiz...

Post Image

Mwigizaji Wema Sepetu anaonekana kuyatafuna maneno yake ya awali, alipokiri kwamba atatoa kizazi chake kama hatakuwa amefanikiwa kushika mimba atakapotimiza miaka 32. Kwa kipindi kirefu, Wema mwenye miaka 29 amekuwa akihangaika kupata mtoto bila ya mafanikio. Mwaka jana alipokuwa na uhusiano na mshiriki wa zamani wa Big Brother Idris Sultan, alieleza kwenye mitandao ya kijamii […]

Read More..