Masogange: Situmii uchawi wanakuja wenyewe

BINTI mwenye haiba ya aina yake, Masogange ametamka kwamba sasa ameamua kuachana rasmi na kuuza sura kwenye video kwavile baby wake hapendi. Lakini anadai kwamba kumbe utoto ndio ulikuwa unamdanganya. “Wakati nauza sura kipindi kile nilikuwa na akili ya kitoto, yaani nilikuwa nataka na mimi niwe Staa nijulikane. Nilikuwa nikiona wale dada zetu wanavyoonekana kwenye […]
Read More..