Saida Karoli: Walioimba Wimbo Wangu Hawakun...

MWANAMUZIKI wa nyimbo za asili, Saida Karoli, amesema hajawahi kupokea fedha yoyote kutoka kwa wasanii waliorudia ama kutumia vionjo vya wimbo wake wa ‘Chambua kama Karanga’ tofauti na inavyodhaniwa na wengi. Saida aliweka wazi suala hilo jana, alipotembelea Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, inayochapisha magazeti ya MTANZANIA, BINGWA, DIMBA na RAI, iliyopo Sinza Kijiweni, […]
Read More..