Kesi ya Wema Sepetu Yapigwa Kalenda

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeharisha kesi ya kutumia dawa za kulevya aina ya Bangi inayomkabili Msanii wa filamu, Wema Sepetu na wenzake hadi Julai 10, mwaka huu. Wakili wa Serikali, Elizabeth Mkunde Jumatano hii alimueleza Hakimu Mkazi Mkuu, Godfrey Mwambapa kuwa shauri hilo lilipaswa kuanza kusikilizwa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Thomas Simba lakini […]
Read More..