AY kafunga ndoa ya siri Rwanda?
February 11, 2018 nikusogezee stori ya Staa Mkongwe wa Bongofleva Ambwene Yesaya ambaye wengi tunamfahamu kama AY hii stori inatokea nchini Rwanda February 10, 2018 zime-trend picha na habari katika mitandao ya kijamii kuwa staa huyo kafunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Remy. AY ameripotiwa kufunga ndoa nchini Rwanda ambapo ndio nyumbani kwa mchumba wake Remy, inaripotiwa kuwa harusi ya AY […]
Read More..