-->

Chuchu Nanyonyesha na Bado Nafunga

Post Image

MSANII wa filamu Bongo Chuchu Hans amesema licha ya kumnyonyesha mtoto wake aitwaye Jaden, bado ataendelea kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, kwani kama ni wingi wa maziwa, atahakikisha anakula vizuri baada ya kufuturu. Akipiga stori na Za Motomoto News, alisema yeye ni Muislam anayezingatia maadili ya mfungo, hivyo kitendo cha kuwa na mtoto mdogo ambaye […]

Read More..

Gabo Awafunda Wanawake

Post Image

Muigizaji anayefanya vizuri sana kwenye ‘game’ ya bongo movie ametoa somo kwa wanawake wa kiislamu kuacha kubweteka na kuwa wachafu kwa kisingizio cha mwezi wa ramadhani kwani watawapatia mianya wandani wao kuchepuka. Gabo amefunguka hayo kwa kudai kuwa wanawake kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan wamekuwa wakijiachia kwa kusingizia kuwa wanafanya maandalizi ya futari […]

Read More..

Steve Nyerere ataka asihusishwe na ishu ya ...

Post Image

Mchekeshaji Steve Nyerere mwenye vipaji vya kuigiza sauti mbalimbali za viongozi, amewataka Watanzania kuacha kumuhusisha kwenye sakata la kutengeneza audio ambayo anasikika malkia wa filamu, Wema Sepetu akizungumza mambo ya faragha na Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA, Freeman Mbowe. Mwenyekiti huo wiki hii, aliikataa audio hiyo kwa kusema siyo yake huku akiwataka Wanzania kutulia wakati […]

Read More..

VIDEO: Jay Moe Amkana T-Touch

Post Image

Msanii wa mkongwe wa ‘ hip hop’ mwenye hit ya ‘Nisaidie kushare’ Jay Moe amefunguka kwa kusema hawezi kusainiwa na mtu yoyote yule akidai yeye mwenyewe ana label yake ya So Famous na kuna wasanii wanamtegemea. Jay Moe amefafanua hayo baada ya kuenea tetesi zilizokuwa zikiwaaminisha watu kuwa huenda akasainiwa na Mr T-Touch ili aendelee […]

Read More..

Johari Apata Pigo

Post Image

DAR ES SALAAM: Pole! Staa wa kitambo wa sinema za Kibongo, Blandina William Chagula ‘Johari’ amepata pigo ‘hevi’ baada ya kufiwa na shangazi yake aliyemlea tangu akiwa mtoto, kumsomesha na kumfundisha maisha hivyo kuondoka kwake kumemuachia maumivu na pigo kubwa. Johari, akiwa nyumbani kwao mkoani Shinyanga kuhudhuria msiba huo aliliambia Wikienda kwa njia ya simu […]

Read More..

Rose Mhando Ashililiwa Polisi Sababu ya Lak...

Post Image

Msanii wa nyimbo za injili nchini, Rose Mhando anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Singida kwa mahojiano kufuatia tuhuma zinazomkabili za kijipatia sh. 950,000 kwa njia ya udanganyifu. Kamanda wa Polisi mkoa wa Singida, ACP Debora Magiligimba amesema msanii huyo aliweka chini ya ulinzi Juni Mosi mwaka huu majira ya mchana wilayani Ikungi baada ya […]

Read More..

Wema Sepetu: Nisameheni Nipo Kwenye Ibada

Post Image

MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Wema Sepetu, amewaomba radhi watu wote aliowahi kuwakosea na amesema amewasamehe wote waliomkosea. Wema alisema kwa sasa ameelekeza ibada yake mwezi huu mtukufu wa Ramadhani ili kusudio alilojiwekea kabla ya mfungo huu litimie. “Ninaamini kabisa ibada yangu ninayoifanya hadi usiku itapokelewa vyema na itafanikisha azma yangu na kuondoa makandokando na […]

Read More..

Kajala Aibuka na Haya Kuhusu Wema Sepetu

Post Image

TASNIA ya filamu nchini imepambwa na wasanii wa kike wenye urembo unaovutia macho na hakika kwenye orodha ya waingizaji wenye kipaji, uwezo na mvuto huwezi kumuacha, Kajala Masanja. Huyu ndiyo bosi wa kampuni ya Kajala Entertment,  ambayo imetengeneza filamu nyingi ikiwemo ile ya Sikitu ambayo chini ya mpicha Farid Uwezo iliweza kufanikiwa  kuliteka soko hilo […]

Read More..

Shamsa Ford Atamani ‘Lifestyle’...

Post Image

Malkia wa filamu Bongo, Shamsa Ford ameweka wazi kumuonea wivu mahusiano ya muigizaji mwenzake, Jenipher Kyaka ‘Odama’ kwa kuyafanya kuwa na usiri mkubwa huku akipongeza na kusema ndivyo inavyopaswa mtoto wa kike kufanya kwenye mapenzi. Shamsa amefunguka hayo na kusema anapenda jinsi muigizaji huyo anavyoweza kuweka mahusiano yake ya mapenzi kuwa faragha yake peke yake […]

Read More..

Zari Asimulia Alivyokiona Kifo cha Ivan

Post Image

SIKU chache baada ya mfanyabiashara maarufu nchini Uganda, Ivan Ssemwanga ‘Ivan Don’ kuzikwa, aliyekuwa mkewe Zarina Hassan ‘Zari the Boss Lady’ ameeleza namna alivyokiona kifo cha Ivan Don. Akizungumza na mtandao mmoja wa burudani, Zari alisema alipewa taarifa na madaktari mapema baada ya hali ya Ivan kubadilika. Zari alikuwa akijibu swali aliloulizwa na mtandao huo […]

Read More..

VIDEO: Siwezi Kumshirikisha Vanessa –...

Post Image

Msanii anayechipukia kutoka ‘Mdee Music’ Mimi mars amefunguka na kuweka wazi kwamba hataweza kushirikiana na dada yake Vanessa Mdee katika kuandaa kazi ya pamoja kwa kipindi hiki kwa sababu ya mashabiki zake bado wanashindwa kutofautisha sauti zao. Mars ambaye anafanya vizuri na wimbo mpya unaokwenda kwa jina la ‘Dedee’ amesema kwa sasa yupo kwe wakati […]

Read More..

Siri ya Jokate Kutusua Forbes

Post Image

JARIDA la Forbes Africa lililojipatia umaarufu kwa kutoa orodha ya watu wenye mafanikio kutoka kwenye sekta mbalimbali barani Afrika mapema wiki hii lilitoa orodha ya vijana wenye umri chini ya miaka 30 ambao wamepata mafanikio katika sekta mbalimbali mwaka 2017 huku Tanzania ikiwa imeingiza vijana wanne ambao ni Harun Elias, Godfrey Magila, Upendo Shuma na […]

Read More..

Madam Flora Atoa Ujumbe Huu Kwa Wote

Post Image

Ikiwa leo ni mwezi mmoja na siku kadhaa toka msanii wa Injili Madam Flora kufunga ndoa kwa mara ya pili na mume wake Daudi Kusekwa baada ya kuachana na aliyekuwa mume wake Emmanuel Mbasha, Fora amefunguka na kuwataka watu kuwa na maamuzi binafsi. Msanii huyo amewataka watu kuwa na maamuzi binafsi kama wanataka kufikia ndoto […]

Read More..

Mume Wangu Awe na Hofu ya Mungu – Jokate

Post Image

Mrembo Jokate Mwegelo ameamua kuweka wazi juu ya mwanaume anayependa kuolewa naye na kuanzisha familia baada ya miaka mitano. Akizungumza na gazeti la Mwanachi Jokate ambaye ametajwa kuwa katika orodha la jarida la Forbes Africa la kuwa miongoni mwa vijana walio na umri chini ya miaka 30 wenye mafanikio mbalimbali kwa mwaka 2017. “Kusema kweli […]

Read More..

Nimepambana Mwenyewe Kufikia Hapa- Snura

Post Image

Muigizaaji na Mwimbaji, Snura Mushi mwenye ‘hit’ ya ‘Nionee wivu’ amesema kuwa mafanikio aliyonayo sasa ni kutokana na juhudi zake binafsi za upambanaji pasipo kumtegemea mwanaume yoyote kwenye maisha yake. Snura amebainisha hayo hivi karibuni alipokuwa akieleza ni namna ganii aliweza kupambana hadi kufikia alipo leo, huku akifafanua kwamba  baadhi ya watu kuwa na dhana iliyojengeka […]

Read More..

Rais Magufuli Amteua Anna Mghwira Kuwa Mkuu...

Post Image

Dar es Salaam. Rais John Magufuli amemteua Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Ikulu leo Jumamosi imesema kuwa Mgwira amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Saidi Meck Sadiki. Katika taarifa hiyo Rais Magufuli pia amewateua Meja Jenerali Issah Suleiman na Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi(DIGP), Abdlrahman Kaniki […]

Read More..

Kizazi cha Kina Gabo, Rammy Gallis Kimefeli...

Post Image

Na RAMADHANI MASENGA BAADA ya Steven Charles Kanumba kufariki, kila mpeda filamu alijua ilikuwa ni fursa ya Ray kulifanya soko namna anavyopenda. Wakati wa uhai wa Kanumba, mshindani wake wa karibu alikuwa Ray. Kwanini sasa watu wasingeamini kuwa baada ya mmoja kuondoka aliyebaki ndiye angekuwa mfalme asiyepingika? Ila bahati mbaya sana haikuwa hivyo. Ray kalala. Aliyeshika […]

Read More..

Nilinusurika Kifo Mara Mbili-Kajala Masanja

Post Image

STAA wa filamu za Bongo, Kajala Masanja, amesema aliwahi kunusurika kifo kutokana na kupata mshtuko mara mbili mara, baada ya kutoka selo alikokuwa akituhumiwa katika kesi ya kuuza nyumba kwa wizi. Kajala alisema labda leo asingekuwa hai kama angeendelea kufuatilia matusi na lawama za mashabiki wake alizozikuta mitandaoni baada ya kutoka kwenye kesi hiyo. “Sikuwa […]

Read More..