-->

Amber Lulu Mtu Wangu – Harmorapa

Post Image

Msanii Harmorapa amefunguka na kusema hakumlipa Amber Lulu ili wapige picha bali walikuwa pamoja sehemu ambapo matukio hayo yalitokea kwa kuwa wao ni watu wa karibu sana. Harmorapa anasema kuwa hakuwa na sababu ya kumlipa msanii huyo kwa kuwa wao ni wapenzi , hivyo walipiga hizo picha wakiwa katika mambo yao ya kawaida yanayowakutanisha. “Amber Lulu […]

Read More..

NDANI YA BOKSI : Anguko la Bongo Movie lili...

Post Image

Inasemekana soko la filamu za Kitanzania linadoda kila uchao. Katika harakati la kuliokoa, Aprili 19 mwaka huu, wasanii wa filamu waliandamana na kufanya mkutano mkubwa kuwahi kuratibiwa. Hata hivyo, mkutano huo ulidhihirisha pia kuwa wasanii wenyewe hawajui nini hasa kiini cha kuanguka kwa tasnia yao. Kwa mfano wakati wakiandamana na kuimba vibwagizo vya “Hatutaki movie […]

Read More..

Sina Hata Bajaji – Riyama

Post Image

Msanii wa bongo movie Riyama Ally amefunguka na kusema licha ya kufanya kazi ya filamu kwa miaka zaidi ya 15 lakini hajapata mafanikio yale ambayo watu wanategemea angekuwa nayo kutokana na uwezo wake wa kuigiza. Rihaya Ally alisema hayo jana alipokuwa kwenye kipindi cha Friday Night Live na kusema hakuna kitu kinaumiza kama unapofanya biashara […]

Read More..

VIDEO: Singeli Tupunguze Maneno Machafu- Ma...

Post Image

Msanii  Man Fongo amewataka wasanii wenzake wa kisingeli nchini kupunguza ukali wa maneno katika tungo zao wanazozitumia kwenye kuimba kwa madai muziki huo ndiyo pekee wa asili uliyobakia katika kulitangaza taifa kwenye soko la kimataifa Man Fongo amesema hayo kupitia kipindi cha eNewz cha EATV huku akisisitiza kuwa muziki huo unasikilizwa na watu wa rika […]

Read More..

VIDEO: Harmorapa Afunguka Mapya Penzi la We...

Post Image

RAPA anayekuja kwa kasi Bongo, Harmorapa amefanya intavyuu na Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho cha Couds FM, Diva The Bause, ambapo rapa huyo amefunguka mambo kibao ikiwemo ishu ya kudai kuwa anampenda Malkia wa Bongo Movies, Wema Sepetu. Miongoni mwa mambo aliyoyafungukia, Harmorapa ameeleza ukweli kuhusu ishu iliyovuma miezi michache iliyopita, pale alipojinadi […]

Read More..

Shamsa Ford Atoa Funzo kwa Mastaa wa Kike

Post Image

Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania, Shamsa Ford amefunguka kwa kuwaonya Mastaa wa Wanawake waache tabia za kuchagua wanaume wa kuwaoa, kwani leo wana majina makubwa na wanaonekana warembo lakini ipo siku itafika hata hao wanaume wanaowatongoza leo watapotea kabisa. Shamsa Ford amesema kwa sasa Wanawake wenye majina makubwa wanajiona warembo kiasi kwamba hufikia hatua hata […]

Read More..

Mwanaume Mfupi Kwangu Hapana – Shilole

Post Image

Msanii Shilole amefunguka na kuweka wazi kigezo kimoja wapo anachoangalia katika kumkubali mtu au kumtokea kuwa kuwa naye katika mahusiano na kusema kimo cha mtu kwake ni kigezo moja wapo. Shilole alisema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachofanyika kupitia ukurasa wa facebook wa EATV, wiki mbili zilizopita na kudai saizi yeye kutoka kimapenzi na […]

Read More..

VIDEO : Mboto Afunguka Mastaa Kubadili Wape...

Post Image

Msanii Mboto amefunguka sababu inayopelekea watu wengi wenye majina makubwa kubadili wapenzi mara kwa mara na kusema wengi wao wanakuwa na hofu juu ya wapenzi wanaowafuata na kutaka kuwa nao maana wanakuwa hawajui kama wanamapenzi ya dhati au wizi. Msanii Mboto amefunguka sababu inayopelekea watu wengi wenye majina makubwa kubadili wapenzi mara kwa mara na […]

Read More..

Wasanii Wakongwe Wametuharibia- Shifah

Post Image

MWIGIZAJI chipukizi kutoka tamthilia ya Siri za familia Sharifa Mansoor ‘Shiffer’ amesema kuwa uigizaji ni kazi sawa na kazi nyingine lakini walioanza walitumia fursa yao vibaya kwa kufanya mambo yasiyofaa kujikita katika masuala ya kashifa kitu kilichopelekea jamii kudharau fani hiyo. “Haikuwa rahisi nilipoomba familia yangu kujiunga na Siri za familia kila mtu alisema kuwa […]

Read More..

Dogo Janja Afungukia Mapenzi ya Harmonize n...

Post Image

Msanii kutoka Tip Top Connection, Dogo Janja amesema licha ya kuwaimba Harmonize na Wolper katika wimbo wake wa Kidebe, hajawahi ‘kuvutiwa’ na mahusiano yao. Dogo Janja amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds Fm kuwa msanii akishakuwa kwenye mahusiano na mtu maarufu ni lazima akubali mapenzi yake kufuatiliwa na watu wengi. “Ukishakuwa na mpenzi staa hiyo […]

Read More..

Nora Afungukia Wasanii Kujiuza

Post Image

MKONGWE katika fi lamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ ambaye kwa sasa anajishughulisha na ujasiriamali baada ya soko kwenda halijojo, amedai biashara ya kujiuza inayofanywa na baadhi ya mastaa wa tasnia hiyo hailipi na itawaathiri zaidi baadaye.   Akipiga stori na Za Motomoto News, Nora alisema ni vyema wakatafuta shughuli halali ya kufanya ili kujipa heshima […]

Read More..

Dogo Mfaume Amefariki Akiwa Anasubiri Upasu...

Post Image

Dar es Salaam. Kifo cha msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Mfaume Selemani maarufu kama Dogo Mfaume, kimekuja ikiwa ni siku chache tangu Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamisi Kigwangalla kutoa msaada kwa ajili ya matibabu ya uvimbe karibu na ubongo uliokuwa unamsumbua. Dogo Mfaume aliyewahi kutamba […]

Read More..

Niombeeni Nipate Mwanaume wa Namna Hii-Wema...

Post Image

Malkia wa filamu bongo, Wema Issac Sepetu amefunguka na kuwataka mashabiki wamuombee apate mume bora atakayekuwa na heshima na wala asiwe mtu maarufu na siyo kumhusisha kila mara na uhusiano wa kimapenzi na msanii Diamond Platnumz. Wema amefunguka hayo wakati akimjibu Shabiki katika kurasa wake wa Instagram, na kumtaka atambue Diamond ni baba wa watoto […]

Read More..

Alikiba apewa jina jipya Uingereza

Post Image

Mtandao mkubwa wa kuuza muziki wa TIDAL ambao upo chini ya rapa Jay Z umempa jina jipya msanii kutoka Bongo Alikiba na kumtambua kwa jina la ‘The unstoppable’ yaani mtu asiezuilika kwa kitu akifanyacho. “The unstoppable AliKiba is live right now in London” mtandao wa TIDAL uliandika wakati Alikiba akifanya yake kwa steji usiku huo. […]

Read More..

JPM Aitaka TBC Itangaze Bila Kubagua Vyama,...

Post Image

Dar es Salaam. Rais John Magufuli amelitaka shirika la utangazaji la TBC, kutoa taarifa sahihi kwa watanzania bila kujali vyama vyao, dini zao wala makabila yao. Pia Rais Magufuli amemuagiza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na MichezoHarrison Mwakyembe aliyekuwepo katika ziara hiyo kuuangalia mkataba kati ya TBC na Star Times na kuchukua hatua zinazostahili endapo […]

Read More..

Tunda Mapenzi ya Mitandaoni Byebye!

Post Image

MUUZA sura kwenye video za Kibongo, Tunda Sebasita ‘Tunda’ hivi karibuni amefunguka kuwa miongoni mwa mambo ambayo hawezi kuyaweka wazi kwa sasa mitandaoni ni juu ya uhusiano wake wa kimapenzi ili kuwaepusha marafiki wenye wivu kumharibia uhusiano wake jambo ambalo lilimtokea kipindi akiwa na Young D. Akichonga na Uwazi Showbiz, Mwanadada huyo alisema kuwa kipindi […]

Read More..

Shamsa Ford Amkana Nay wa Mitego

Post Image

Malkia wa filamu Shamsa Ford amekanusha kuwepo katika show ya ‘Wapo Tour’ ya rapa Nay wa Mitego itayofanyika katika ukumbi wa Dar Live Mbagala, May 20 mwaka huu. Muigizaji Shamsa Ford Rapa huyo hivi karibuni aliimbia Bongo5 kuwa muigizaji huyo ambaye kwa sasa ameolewa na mfanyabiashara Chidi Mapenzi, atakuwepo kwenye show hiyo. Akiongea na Bongo5 Jumanne […]

Read More..

Jina la Miss Tanzania libadilishwe – ...

Post Image

Msanii Afande Sele amefunguka mengine mapya kwa kudai shindano la Miss Tanzania kwa sasa linatia aibu kubwa katika taifa kwa kukosa hadhi huku likionekana ni shindano linalomnufainisha mtu mmoja nasiyo taifa kama ilivyokuwa awali. Afande Sele amesema hayo baada ya watu wengi ndani na nje ya nchi kutoridhishwa na zawadi ya gari aliyopewa Miss Tanzania […]

Read More..