-->

Idris Sultan Atokwa Povu Ukaribu wa Wema, G...

Post Image

MSANII wa komedi Bongo na mshindi wa shindano la Big Brother Afrika 2015, Idris Sultan, ‘Dokta Mwaka’ ametokwa povu baada ya kuona picha za Wema Sepetu na Gabo Zigamba staa wa filamu Tanzania. Idris alichapisha katika ukurasa wa Instagram akihoji mazingira ya picha ile kutaka kujua eneo lile ni wapi. Mashabiki wa Wema mtandaoni wanafasiri […]

Read More..

Lord Eyes Afungukia Mambo Yanayoua Makundi,...

Post Image

Kupitia kipindi cha XXL cha April 20 2017 rapa ambaye alitamba na Nako 2 Nako na WEUSI kutoka Arusha, Lord Eyes ameelezea sababu za kutokuwa karibu na WEUSI akisema waliungana bila mkataba kwa sababu za kimuziki na kutanua wigo wa msanii. Pamoja na hayo Lord amesema WEUSI ni kampuni na kundi ingawa kumekuwa na utengano, […]

Read More..

Huu Ndiyo Ushauri wa Harmorapa kwa JPM

Post Image

Msanii Harmorapa ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake ‘Kiboko ya mabishoo’ amefunguka na kutoa ushauri kwa Rais Magufuli juu ya mambo ambayo angependa kuona Rais anayafanyia kazi. Harmorapa akiwa kwenye kipindi cha Kikaangoni kinachofanyika kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV kila siku ya Jumatano kuanzia saa nane mpaka saa kumi jioni ameshauri Rais Magufuli […]

Read More..

Shamsa Ford Apata Majanga, Apigwa Ngumi

Post Image

STAA wa kutoka kiwanda cha filamu cha Bongo Muvi, Shamsa Ford amepata jeraha la maisha baada ya kupigwa ngumi na jamaa ambaye jina lake halikufahamika mara moja. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Shamsa alitupia picha iliyomuonyesha akiwa na jeraha usoni na kuandika ujumbe kwa mashabiki zake kuwa alipigwa akiwa anagombelezea ugomvi. Shamsa amefunguka kuwa tukio limetokea […]

Read More..

Bongo Movie Trailer-Yai Viza (24/04/2017)

Post Image

Kutoka STEPS ENTERTAINMENT LTD , Filamu ya Yai viza inatoka 24.04.2017 usikubali kukosa Kabisa kutana na @philimonlutwaza @jacquelinemateru @leonsambala na wengine wengi usikose

Read More..

Harmorapa: Simjui Master J

Post Image

Ni kweli nilichokisikia au ninaota? Eti Harmorapa hamfahamu Master J? Rapper huyo ameonekana kuwashangaza mashabiki Jumatano hii wakati alipokuwa katika kipindi cha Kikaangoni cha EATV kuwa hamfahamu mtayarishaji huyo mkongwe wa muziki nchini. “Master J mbona simjui? Sidhani kama ni producer maana hakuna ngoma yake yoyote inayohit ambayo mimi naijua,” amesema Harmo. Hitmaker huyo wa […]

Read More..

Siwezi kugombana na Chege – Juma Nature

Post Image

Msanii mkongwe nchini Tanzania, Juma Nature maarufu kama ‘Kiroboto’ amefunguka na kusema hajawahi kugombana na msanii mwenzake Chege Chigunda kama watu wanavyofikiri kuwa mwanamke ndiyo amewafanya washindwe hata kusalimiana wawili hao. Nature amebainisha hayo baada ya kuenea tetesi za kipindi kirefu zilikuwa zinawaaminisha watu kuwa mke aliyemuoa msanii huyo ndiye alikuwa mpenzi wa Chege hapo awali mpaka […]

Read More..

VIDEO: Steve Nyerere Afungukia Kutounga Mko...

Post Image

KUFUATIA maandamano ya wasanii wa Filamu nchini, Bongo Movie, ambao wameandamana leo katika mtaa wa Aggrey Kariakoo  wakipinga uingizwaji wa filamu za nje na urudufishwaji wa filamu za ndani huku wakiwataka wamachinga wanaouza filamu hizo waache mara moja, msanii wa tasnia hiyo Steve Mengele Nyerere amefunguka kuhusu kutoonekana kwenye tukio hilo. Akifanya mazungumzo Global TV […]

Read More..

Wasanii wa Bongo Muvi Waandamana Kariakoo D...

Post Image

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akishirikiana na Wizara ya Habari pamoja na wasanii wa filamu wameendesha operesheni maalum katika mitaa ya Kariakoo Jijini Dar es salaam kwa dhumuni la kupambana na wazalishaji wa CD ‘feki’ za filamu kutoka nje ya nchi. Hatua hiyo imekuja baada ya wasanii wa filamu nchini kumtembelea […]

Read More..

Tunda Afungukia Picha Tata Zilivyomkosesha ...

Post Image

Video queen Tunda amefunguka kuwa picha zilizowahi kuvuja mitandaoni akiwa kitandani na msanii Stan Bakora zilikuwa ni sehemu ya filamu na zilifanya familia yake kuingilia kati na kumkataza kuigiza filamu hiyo ambayo ilikuwa katika maandalizi. Tunda amevujisha siri hiyo kupitia eNewz ya EATV na kudai kuwa picha hizo zilizomuonesha akiwa kitandani kwenye pozi zenye utata […]

Read More..

Sitoki na Mwigizaji Yoyote Bongo Movie- Rac...

Post Image

MSANII wa filamu Bongo Rachel Bitulo amefunguka kwa kusema kuwa hana mahusiano na mwigizaji yoyote kwani yeye ana mchumba wake ambaye wanapenda sana hivyo hawezi kuwa uhusiano na msanii wa filamu awe mkubwa au mdogo hata usumbufu uvumi huo unakuja baada picha moja kurushwa mtandaoni. Picha hiyo alikuwa na mwigizaji mwezake Stanley Msungu maarufu kama […]

Read More..

VIDEO:Upendo Nkone amuangukia JPM akiomba u...

Post Image

Mwanamuziki wa injili, Upendo Nkone amesema yuko tayari kutumikia nafasi ya ubunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania endapo  Rais Magufuli atamteua. Akiwa katika kipindi cha Kikaangoni cha EATV, Upendo alisema, anaamini ametumwa na Mungu kufikisha ujumbe wake kupitia uimbaji, lakini pia yuko tayari kuitumikia jamii kupitia nafasi ya ubunge, na kuweka wazi […]

Read More..

Kamati ya Bunge Kujadili Usalama wa Nchi -V...

Post Image

Dodoma. Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama leo mchana itakutana ili kujadili masuala ya kiusalama ikiwamo ya kuuawa kwa polisi na raia nchini.   Spika wa Bunge, Job Ndugai ameyasema hay oleo baada ya kipindi cha maswali na majibu alipokuwa akijibu muongozo wa Mbunge wa Bukombe, (CCM) Dotto Bitteko. Polisi wanane […]

Read More..

Mfuko wa Maendeleo ya Sanaa Kuwanufaisha Wa...

Post Image

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema ipo katika mchakato wa kuanzisha ‘Mfuko wa Maendeleo ya Sanaa’ ambao utakuwa unawasaidia wasanii kuinua kipato chao. Hayo yamebainishwa leo Bungeni na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Annastazia Wambura alipokuwa akijibu swali lililoulizwa na Mbunge wa Kinondoni, Maulid Said Mtulia wakati alipotaka kujua mipango ya […]

Read More..

Lulu Akanusha Taarifa za Ndoa

Post Image

Muigizaji Elizabeth Michael (Lulu) akana kutoa taarifa za ndoa yake.   Hivi karibuni magazeti ya Mtanzania na Mwananchi yaliobnekana kufanya mahojiano na mrembo huyo na kuripoti kuwa ndoa yake na mpenzi wake Fransic Shiza maarufu kama Majay ambaye pia ni bosi wa EFM na TVE inakaribia. Kupitia mtandao wa Twitter, Lulu amekanusha taarifa hizo kwa […]

Read More..

Ujumbe wa Haji Manara Kwa Wema Sepetu

Post Image

Manchester United jana imeendelea kutengeneza njia ya kuignia kwenye nafasi nne za juu baada ya kuifunga Chelsea mabao 2-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England ‘Premier League’ kwenye Uwanja wa Old Trafford. Baada ya mechi hiyo msemaji wa timu ya Simba, Haji Manara  ambae mara kadhaa ameonesha kumkubali sana muigizaji Wema Sepetu alisema hivi […]

Read More..

NDANI YA BOKSI: Mchawi wa Bongo Movie ni Bo...

Post Image

Kim Kardashian anaweza kuwa na mpango wa kupiga picha za utupu katika jarida maarufu la PlayBoy. Ameshafanya hivyo mara kadhaa. Na zaidi dunia nzima iliwahi kumuona akifanya ngono na Ray J, kupitia mkanda wa video waliojirekodi pamoja. Lakini haijawahi kumyumbusha akili yake na kushindwa kuendelea na mambo yake na zaidi umaarufu ukaongezeka zaidi. Biashara zake […]

Read More..

Mke wa Roma Mkatoliki Atoa la Moyoni Kuhusu...

Post Image

Mke wa msanii Roma Mkatoliki, Nancy Mshana amefunguka kwa mara ya kwanza toka mume wake alipotekwa na kupatikana na kuwashukuru Watanzania ambao walikuwa pamoja na yeye katika kipindi kigumu. Mrembo huyo ametumia maneno ya kwenye Biblia kutoka katika kitabu cha Yeremia kufikisha ujumbe wake kwa watu ambao wamemfanyia ubaya mume wake na kusema kuwa na […]

Read More..