-->

Ney wa Mitego Awekewa Ulinzi Zanzibar

Post Image

MKALI wa wimbo wa ‘Wapo’, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, amesema tangu alipotoa wimbo wa ‘Wapo’ amekuwa akifanya shoo zake katika  mikoa mbalimbali akiwa na ulinzi wa kutosha. Mlinzi huyo kabla ya kuwasili visiwani Zanzibar kwenye tamasha la Muziki na Utamaduni la Zanzibar Swahili, alikubaliana na waandaaji wa tamasha hilo wampatie ulinzi wa kutosha na […]

Read More..

VIDEO:Baraka The Prince na Najma Wafunguka ...

Post Image

Msanii Baraka The Prince ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake ‘Acha niende’ amefunguka na kusema yeye ameridhika na Najma kwa kila kitu na kusema hawezi kuwa katika maisha ya mapenzi na mtu ambaye anakasoro. Baraka The Prince alisema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Planet bongo na kusema kwa Najma haoni kasoro yoyote ile na […]

Read More..

P Funk Amuonya Master J Kuhusu Harmorapa

Post Image

Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini P Funk Majani amemuonya mkongwe mwenzake katika game, Master J kutomsema vibaya kwa kumsapoti msanii Harmorapa kwa madai kuwa msanii huyo hana kipaji. P Funk pia amemkumbusha Master J jambo na kumwambia kuwa hata alipoanza kumtengeneza Juma Nature majungu na maneno yalikuwa mengi lakini alitusua na kuwa msanii mkubwa nchini. […]

Read More..

Rais Magufuli Ashiriki Ibada ya Pasaka, Awa...

Post Image

Dar es Salaam. Rais John Magufuli leo ameshiriki ibada ya Pasaka katika kanisa la Mtakatifu Petro na kuwashukuru wakristo na waumini wa madhehebu mengine nchini kwa kuendelea kumuombea. Pia Rais aliwaomba waumini hao waendelee na maombi hayo ili nchi iendelee kuwa na amani, umoja, mshikamano na watu wanaochapa kazi. Taarifa iliyoletwa na Kurugenzi ya Mawasiliano […]

Read More..

Sakata la Filamu za Nje: Makonda Amueleza H...

Post Image

Jumamosi hii Rais John Pombe Magufuli alikuwa katika uzinduzi wa mabweni ya Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) ambapo Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alipata fursa ya kuzungumzia mambo mbalimbali yanayoendelea ndani ya mkoa wake na kuzungumzia ishu ya operesheni yake mpya ya kupiga vita filamu za nje ambazo hazilipi […]

Read More..

Bado Namkumbuka Mshkaji Wangu Kanumba!

Post Image

MIAKA mitano imekatika sasa tangu mkali wa sinema za Kibongo, Steven Kanumba afariki dunia. Marehemu Kanumba alifariki Aprili 7 na kuzikwa Aprili 10, 2012 katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Tasnia ya filamu za Kibongo bila shaka bado inamkumbuka shujaa huyu ambaye alijitahidi kwa kadiri ya uwezo wake kupaisha filamu zetu katika medali […]

Read More..

Wema Sepetu, Gabo Kuwasha Moto Kwenye Filam...

Post Image

Malkia wa filamu Wema Sepetu pamoja na Gabo Zigamba wataonekana kwenye filamu mpya ‘Heaven Sent’ inayoongozwa na Neema Ndepanya chini ya kampuni ya Fontana Entertainment. Katika filamu hiyo Wema atakuwa kwenye mahusiano na Gabo Zigamba. “Sometimes in Life, You meet people for a Reason…. Im so happy I found the Reason I met you Gabo […]

Read More..

VIDEO:Nasubiri Ripoti ya Wafanyakazi 9000 w...

Post Image

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati Jumamosi hii akizindua majengo ya Hosteli za Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) amefunguka kwa kusema kuwa anasubiri ripoti ya wafanyakazi wa Serikali zaidi ya elfu tisa ambao wanatumia vyeti vya kufoji. Rais Magufuli amesema kumekuwa na changamoto kubwa katika kila sekta […]

Read More..

Video: Mwigulu Awaongoza Wananchi Kuwaaga P...

Post Image
Read More..

Jux ameachana na Vanessa Mdee?

Post Image

Msanii Jux ambaye awali alikuwa akitoka kimapenzi na msanii Vanessa Mdee amefunguka na kusema kwa sasa yeye hayupo single kama ambavyo watu wanakuwa wakisema lakini pia amekanusha zile tetesi kuwa ameachana na mpenzi wake Vanessa Mdee. Jux alisema hayo jana kupitia kipindi cha Frida Night Live na kusema taarifa ambazo zinasambazwa kuwa sasa yupo single […]

Read More..

Tunda: Marafiki Wasiofaa, Utoto Vilinihari...

Post Image

KABLA ya Video Queen Tunda Sabasita kukamatwa na polisi kwa soo la kutumia madawa ya kulevya kisha kufi kishwa mahakamani akiwa na mastaa wengine, alikuwa gumzo kutokana na matanuzi aliyokuwa akiyafanya kwenye mahoteli makubwa kisha kutupia picha kwenye mitandao.   Wengi walihoji kama kweli ni sanaa tu ambayo inamuweka mjini au kuna madili mengine lakini […]

Read More..

Bonge la Nyau Aanika Mahusiano Yake na Shil...

Post Image

Msanii wa bongo fleva Bonge La Nyau amesema hana mahusiano ya kimapenzi na Shilole japo watu wamekuwa wakiwaona karibu kiasi cha kuzusha kwamba wawili hao ni wapenzi. Akiongea kupitia eNewz ya EATV, Bonge la Nyau amesema kwa sasa yeye ana mpenzi wake ambaye wamejaliwa kupata mtoto mmoja hivyo watu wanaposema yeye na Shilole wapo karibu sana ni […]

Read More..

New Video: Young Killer & Stamina ...

Post Image

Wasanii wa muziki wa hip hop Young Killer Msodoki, Billnass pamoja na Stamina wameachia video ya wimbo wao mpya wa pamoja uitwao ‘Aje Mwenyewe’. Video imeandaliwa na director Lucca kutoka kampuni ya Swahili na audio imeandaliwa na Kiri Rec.

Read More..

Wema Sepetu Ataka Mashabiki Waheshimiwe

Post Image

STAA wa filamu nchini na Miss Tanzania mwaka 2006, amesema ni upuuzi kwa msanii kutomheshimu shabiki wake kwa kuwa bila huyo hawezi kuwa msanii. Wema alisema kwa kuwa msanii ni kioo cha jamii, hivyo hatakiwi kutoheshimu mashabiki wake kwa kuwa hao ndiyo wanaomsaidia kisanii. “Kuna baadhi ya wasanii wanatumia majina yao vibaya, ukiwa staa unatakiwa […]

Read More..

Waziri Nchemba Awasili Eneo Yalipotokea Mau...

Post Image

Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amewasili eneo yalipotokea mauaji ya askari wanane katika kijiji cha Jaribu, Wilayani Kibiti. Waziri Nchemba ameambatana na naibu wa wizara hiyo, Mhandisi Hamad Masauni. Nchemba atatembelea kambi za askari polisi wa kanda ya Pwani na katika kata ya Bungu wilayani Kibiti. Mwananchi

Read More..

PICHAZ: Diamond Anunua Hammer Sauzi

Post Image

STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul maarufu Diamond Platnumz ameonyesha gari lake jipya aina ya Hammer alilolinunua kwa ajili ya shughuli zake akiwa nchini Afrika Kusini. Diamond na familia yake (mama watoto wake na watoto wawili) wanaishi nchini Afrika Kusini. Kupitia Instagram yake amepost picha za gari hilo na kuziwekea caption inayosema: @zarithebosslady kidogo changu […]

Read More..

VIDEO:Kutumia Ushirikina ni Sawa – Sa...

Post Image

Msanii Sam wa Ukweli ambaye hivi sasa anafanya vyema na wimbo wake wa ‘Kisiki’ amefunguka na kusema ushirikina kama ukiutumia vyema kwa ajili ya mambo yako ya faida kama kazi zako au ya kimaendeleo ni sawa. Sam wa Ukweli amesema hayo jana alipokuwa kwenye kipindi cha 5Selekt na kusema kama una utumia vyema uchawi kwa […]

Read More..

VIDEO:Sina Mpinzani Kwenye Game-Chemical

Post Image

Rapa wa kike bongo anayesumbua na ngoma ya ‘Queen of Dar es salaam, Chemical amejinadi kuwa hakuna rapa wa kike aliyepo kwenye game mwenye uwezo wa kushindana naye kwa upande wa kuandika mashairi. Chemical amefunguka hayo kwenye eNewz ya EATV leo na kudai kuwa anaamini yeye ni bora katika ‘game’ hivyo watu wasipende kumfananisha na watoto […]

Read More..