-->

VIDEO: Zitto Afungukia Uteuzi wa Kitila Mku...

Post Image

Kiongozi mkuu wa chama cha ACT wazalendo,Zitto Kabwe anasema walifanya mashauriano kama chama ikiwemo Kitila Mkumbo, chama kimepokea uteuzi wa Kitila kuwa katibu mkuu. Uteuzi unaonyesha upinzani kuna watu wenye uwezo, weledi na uzalendo wa kuweza kutumika katika utumishi wa Umma. Zitto: Kitila ni mtumishi wa umma kwa sababu ni mhadhiri wa chuo kikuu cha […]

Read More..

Nay wa Mitego Ahofia Usalama wa Maisha Yake

Post Image

Rapa Nay wa Mitego anayetamba na wimbo wa  ‘Wapo’  uliojipatia umaarufu mkubwa hadi serikalini amedai kuwa usalama wa maisha yake upo hatarini na kwamba kuna watu wanaopanga kumpoteza ili asiwepo duniani. Katika ukurasa wake wa Instagram Nay ‘amerusha jiwe gizani’ pasipo kumtaja mtu ambaye anataka kumuangamiza huku  akisisistiza kuwa yupo tayari kufanyiwa chochote na kwamba hajajipanga […]

Read More..

Steve Nyerere Afungukia Nyumba Ndogo

Post Image

Komediani wa Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amefungukia tetesi za kuwa na nyumba ndogo akidai kuwa hayo ni maneno ya watu kwani ana mkewe mmoja tu. Akizungumza na Wikienda , Steve alisema kuwa, watu wanaosema yeye ana nyumba ndogo wanamzushia kwani katika maisha yake hajawahi kuwa na nyumba ndogo. “Unajua watu wakitaka kukuzushia jambo huwezi […]

Read More..

Harmonaze Hana Jeuri ya Kuniacha- Wolper

Post Image

JACK Wolper amefunguka kuwa mpenzi wake wa sasa mwanamuziki wa kizazi kipya Harmonaze hana uwezo wa kumuacha kimapenzi pamoja na tetesi ambazo usikika kama mwanamuziki huyo kuwa na warembo wengine anaotoka nao kimapenzi. “Wengi wanaongea sana kuhusu mpenzi wangu kama anatoka na wanawake wengi pengine inaweza kuwa ndio sababu ya kuniacha mimi hicho hakiwezekana wanaongea […]

Read More..

Harmorapa Arushiwa Chupa Stejini

Post Image

Msanii Harmorapa ambaye anafanya vyema na wimbo wake ‘Kiboko ya mabishoo’ jana usiku kwenye usiku wa Komela alijikuta katika wakati mgumu baada ya moja ya shabiki aliyekuwepo katika show hiyo kumrushia chupa akiwa stejini. Harmorapa ambaye katika show hiyo alitokea kama mgeni mwalikwa, alipata nafasi ya kuwasalimu mashabiki wake na kufanya show kidogo lakini wakati rapa […]

Read More..

Gabo, Miaka 12 Kwenye Ndoa

Post Image

MASTAA wengi ulimwenguni wamekuwa wakishindwa kudumu kwa muda mrefu kwenye ndoa zao. Ni wachache walioweza kukaa na wenzi wao kwa zaidi ya miaka mitano kabla ya kuvunjika. Hapa Bongo, miongoni mwa mastaa walio kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka kumi ni Salim Ahmed ‘Gabo’ ambaye amefanya vizuri kwenye sinema nyingi zikiwemo Bado Natafuta, Safari ya […]

Read More..

Hakuna cha kurekebisha kwenye ‘Wapo’ – Nay

Post Image

Msanii Nay wa Mitego ambaye mwisho wa wiki amekutana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amefunguka na kushukuru kukutana na Waziri mwenye dhamana na kusema kwa sasa hakuna anachoweza kubadilisha kwenye wimbo huo. Nay wa Mitego anasema kwa sasa hakuna kitu anachoweza kubadilisha kwenye wimbo huo kwani haukuwa na lengo […]

Read More..

Saida Karoli: Diamond na Belle 9 Waliniokoa...

Post Image

Licha ya kuwa mpambanaji kwa muda mrefu ili arudi tena kwenye muziki, kumbe Saida Karoli alishakata tamaa ya kutoboa tena Mama huyo mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni amedai kuwa baada ya Belle 9 na Diamond kuachia nyimbo zao walizotumia baadhi ya vitu kutoka kwenye wimbo wake wa ‘Maria ya Salome’ ndio zilimpa nguvu mpya […]

Read More..

Maoni:Darassa Kazimwa na Rais Magufuli…

Post Image

255 champion boy niite Mbwana Samatta haaa…” Ngoma linaanza kibabe. Linaisha kindava. Na ‘biti’ ya kikatili kama sound track ya movie la kimafia. Lazima ukae. Alikuwa yeye tu kwa kipindi kirefu. Aliwafunika wanamuziki wote mpaka mashabiki wao. Miaka mingi imepita bila wimbo wa kutikisa nchi hii kutoka. Darassa alipokuja na ngoma yake ya “Muziki” alishitua […]

Read More..

Ney Kafanikisha, Ujumbe Umefika

Post Image

Nimekuwa nikifuatilia taarifa za msanii Emmanuel Elibariki au kwa jina la kisanii, Ney wa Mitego katika magazeti ya kila siku, redio, televisheni na kwenye mtandao. Ney alifukuliwa kitandani saa nane usiku. Akadakwa na polisi. Ni Jumapili iliyopita katika nyumba ya kulala wageni iitwayo Premier Lodge mjini Turiani; mkoani Morogoro. Ney alimalizia zile saa chache kabla […]

Read More..

Kuna Diamond Halafu Harmonize

Post Image

SAFARI ya kutembelea makao makuu na studio za Wasafi Classic, inabakia kuwa yenye kumbukumbu ya kipekee kwa timu ya waandishi wa Mwanaspoti iliyotembelea ofisi hizo hivi karibuni. Tunakumbuka ilikuwa muda mfupi baada ya kumaliza kufanya mahojiano ya kina na kinara wa kundi hilo, Diamond Platinumz, tulianza kujiandaa kutimka baada ya kuridhika na kazi nzuri tuliyofanya […]

Read More..

Hiki Ndicho Shigongo Kamshauri Alikiba

Post Image

Mfanyabiashara Erick Shigongo amefunguka na kuamua kumshauri Alikiba kuhusiana na muziki wake na namna ambavyo anatakiwa kuishi kwa mipango ili hata siku asipokuwepo kwenye ramani ya muziki awe na maisha yenye tija kulingana na kazi alizofanya nyuma. Erick Shigongo ameamua kufanya jambo hili kama kuwakumbusha vijana pamoja na watanzania kiujumla kuwa siku zote unapopata mafanikio […]

Read More..

Jay Moe: Nilipata Aibu Kwa Bill Nas

Post Image

RAPA aliyewahi kutamba na wimbo wa ‘Mvua na Jua’, Juma Mchopanga (Jay Moe), amesema licha ya kutamani kufanyakazi na rapa wa wimbo wa ‘Sitaki Mazoea’, William Lyimo (Bill Nas), hatasahau alivyomdharau kabla ya kusikiliza na kuona video zake. Jay Moe alisema kabla ya kumwona, kusikiliza na kutazama video zake hakuwa akijua uwezo mkubwa alionao rapa […]

Read More..

Ethiopia Kuleta Umeme wa Bei nafuu, Asema R...

Post Image

Dar es Salaam. Tanzania itapata umeme a megawatt 400 kutoka Ethiopia baada ya Rais John Magufuli na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Hailemariam Desagen kukubaliana kushirikiana katika mambo 13. Mbali na umeme, masuala mengine ni usafirishaji wa anga, bandari, matumizi ya Mto Nile, vibali vya kufanya kazi ndani ya nchi hizi mbili, utalii, kilimo, uboreshaji […]

Read More..

Wolper Amchana Harmorapa!

Post Image

JACQUELINE Wolper amefunguka kuwa mwanamuziki chipukizi ambaye hivi sasa amekuwa gumzo mjini, Athuman Omary ‘Harmorapa’ anatia hasira kutokana na kauli zake. Wolper ambaye ana jina kubwa Bongo Muvi, alisema kinachomuudhi kwa Harmorapa ni kitendo cha mpenzi wake, memba wa Wasafi Classic Baby (WCB), Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ kumuongelea vizuri lakini yeye anapohojiwa na vyombo vya habari […]

Read More..

Shigongo:Diamond Mbele Kuna Shimo, Ukimya B...

Post Image

Mwandishi na mmiliki wa kampuni ya Global Publishers Eric Shigongo, amemfungukia staa wa Bongo Fleva, Diamond  Platinumz kwa kumtahadhalisha kuwa anaweza kwenye game kutokana na kitendo chake cha kutofufanya matamasha mengi ya hapa nyumbani  na hii ni kutokana na kitendo cha kuwatoza kiwango cha juu  mapromota wa nyumbani kiwango kile kile anachowatandika wale wa nje. […]

Read More..

Chemical: Sitasahau Mama Yangu Alivyoniacha

Post Image

MSANII wa hip hop, Chemical amesema kila anapokumbuka kifo cha mama yake anajikuta akilia sana kutokana na kutamani angeyaona mafanikio yake ya sasa kupitia muziki wake. “Sikulelewa na mama yangu kwa asilimia kubwa kutokana na maradhi yaliyokuwa yakimsumbua, lakini nilipotimiza miaka mitatu nikaambiwa niende Dar es Salaam kumsalimia, nilifika na furaha kumbe ndiyo alikuwa amefariki, […]

Read More..

VIDEO: Msiniite Tena TID-Khalid

Post Image

Mkongwe wa bongo fleva Khalid Mohamed maarufu kwa jina la TID au Mzee Kigogo amelikataa rasmi jina la TID ambalo ndilo lililompatia umaarufu na kutaka kupendekeza aitwe jina lake alilopatiwa na wazazi wake au ‘Mnyama’. Akipiga story na eNewz ya EATV TID amesema halipendi tena jina hilo kwa kuwa limekuwa la kawaida sana na kudai watu […]

Read More..