-->

Rais Magufuli Amtembelea Mzee Majuto Hospta...

Post Image

Siku chache baada ya MCL Digital kumtembelea muigizaji wa filamu na maigizo Mzee Majuto na kuandika habari zake kwenye gazeti la Mwanaspoti na mitandao ya kijamii, hatimaye Rais Dk John Pombe Magufuli leo Jumatano amemtembelea muigizaji mkongwe, Mzee Majuto katika Hospitali ya Tumaini jijini Dar es Salaam anakopatiwa matibabu. Akithibitisha habari hizo, mke wa Mzee […]

Read More..

Mambo ya Kununua Vitu Mtandaoni ‘Yame...

Post Image

Msanii wa muziki bongo asiyeisha vituko, Zuwena Mohamedi maarufu kama Shilole, ameweka wazi janga lililomkuta kwenye nguo aliyovaa ambayo imeonekana kuwaacha watu midomo wazi huku wakimcheka. Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Shilole amesema nguo hiyo aliagiza mtandaoni, lakini matokeo yake ilikuja kumbadilikia baada ya kuvaa. “Kwaweli haya mambo ya kununua vitu mitandaoni […]

Read More..

BREAKING NEWS: NECTA Imetangaza Matokeo ya ...

Post Image

NECTA inatangaza kuwa matokeo ya kidato cha nne 2017/2018 yametoka. January 30 2018 Baraza la mitihani Tanzania ‘NECTA’ limetangaza matokeo ya kidato cha nne ‘CSEE 2017’ na matokeo ya mtihani wa maarifa (QT) 2017. Kwa urahisi unaweza kuyaona matokeo ya kidato cha nne kwenye link iliyoandikwa ‘CSEE 2017’ >>>CSEE 2017 Unaweza pia kuyatazama matokeo ya matokeo […]

Read More..

Ebitoke: Ben Pol Amenipotezea

Post Image

MCHEKESHAJI, Anna Exavery ‘Ebitoke’ amefunguka kuwa hajawahi kuachana na msanii, Ben Pol isipokuwa aliona jamaa kama amempotezea hivyo akaamua kujiweka kando.   Akizungumza na Full Shangwe, Ebitoke alisema hajawahi kuachana na Ben Pol ila alipoona yuko kimya na yeye akaamua kukomaa na mishe zake. “Hatujawahi kuachana na Ben Pol, niliona yuko kimya na mimi ikabidi nikomae […]

Read More..

Sitaki Ali Choki Afie Kwangu – Asha Baraka

Post Image

Baada ya msanii wa mziki wa Dance Ali Choki kupiga stori na eNEWZ wiki chache zilizopita na kusema mwaka 2018 atafanya kazi zake mwenyewe kama Mama Asha Baraka ataendelea kulala, kiongozi huyo wa Twanga Pepeta amemjibu Choki. Mama Asha Baraka baada ya kusikia kauli hiyo  amesema anamshangaa sana Ali Choki kusema maneno hayo kwani tangu […]

Read More..

Bongo Muvi Ubinafsi, Ujuaji na Kutekelezana

Post Image

KATIKA mtandao maarufu wa WhatsAap niko katika makundi mawili yanayohusu sanaa. Moja limejaa wasanii maarufu wa Bongo Muvi na lingine limejaa wasanii maarufu wa Bongo Fleva. Katika kundi la Bongo Fleva wasanii wanajadiliana, wanasifiana na wanahamasishana kufanya kazi nzuri. Kwao sio aibu msanii kusema tuige mfano wa msanii fulani ama sio hatari kusema Vanesa Mdee […]

Read More..

VideoMPYA: Nyimbo ya kwanza ya MBOSSO baada...

Post Image

Baada ya kimya cha muda mrefu cha muimbaji wa Bongofleva Mbosso aliyekuwa member wa Yamoto Band, Mbosso leo ametambulishwa rasmi kuwa msanii wa sita kusainiwa na WCB baada ya Harmonize, Rayvanny, Rich Mavoko, Queen Darleen na Lava Lava , baada ya utambulisho tu Mbosso ameachia video yake mpya inaitwa ‘Watakubali’

Read More..

Sikutaka Hela ya Mtu – Wastara

Post Image

Msanii wa filamu wa bongo Wastara Juma ambaye hivi karibuni amepewa mchango wa milioni 15 na familia ya Rais Magufuli, amewajibu watu wanamtuhumu kuwa tapeli kwani hana ugonjwa unaomsumbua. Akizungumza na mwandishi wa EATV Wastara amesema kabla ya kuomba michango alijitahidi sana kujitafutia mwenyewe hiyo pesa kwani hakutaka pesa ya mtu mwengine ije imsaidie, kwani […]

Read More..

MSANII MPYA: CELINE JOHN msanii mpya wa n...

Post Image

Msanii mpya kutoka Tanzania anayeitwa CELINE JOHN anaye chipukia na nyimbo za Gospel. Na hadi hivi sasa ameshaachia nyimbo mbili ambazo ni “NAMPENDA YESU” na “LEO“. Msanii Celine ni kijana mdogo na ameweza kutimiza ndoto zake za kuwa mwanamziki wa nyimbo za injili. Anamshukuru Mungu kwa afya anayomjalia kila siku na pia anawashukuru wazazi wake […]

Read More..

AY: Nyimbo ya Ditto “Nabembea” ...

Post Image

Msaani maarufu Ambwene Yesaya anayejulikana kama “AY” ameamua kuweka hisia zake hadharani kuhusu wimbo wa msanii Ditto ‘Nabembea’ ambapo amesema kuwa ni wimbo bora na utaishi miaka mingi kwenye game ya Bongofleva.. AY ambaye amepost kwenye ukurasa wake wa Twitter kwa kuandika hivi..>>>”Nimechelewa kuusikia wimbo wa Lameck Ditto ‘Nabembea’ kama na wiki kadhaa ila kiukweli ni wimbo Bora […]

Read More..

Nandy amfungukia Ruby

Post Image

Msanii wa muziki wa kike hapa bongo ambaye hivi sasa ndio gumzo kwenye game, Nandy, amesema kitendo cha Ruby kusema kuwa kwake kimya alikuwa anampisha, alikuwa ana tafuta kisingizio kwani bado alikuwepo kwenye game. Akizungumza kwenye 5SELEKT ya East Africa Television, Nandy amesema kwa Ruby kusema hivyo ni kisingizio, kwani wakati yeye anaanza kufanya vizuri, […]

Read More..

Diamond na Vanessa wamo kwenye shindano la ...

Post Image

Diamond Platnumz na Vanessa Mdee waingia tena kwenye shindano la MSANII BORA WA MWAKA 2017 ( “AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR”).   Diamond Platnumz pamoja na Vanessa Mdee wamechaguliwa kwa mara nyingine tena kuwania tuzo za nchini Nigeria “Too Exclusive Awards 2017″ na wote wametajwa katika kipengele kimoja cha msanii bora wa mwaka ( AFRICAN ARTISTE OF […]

Read More..

Audio : Kizungu Zungu kutoka kwa LavaLava

Post Image

Msanii wa muziki Bongo, LavaLava ameendelea kuwaburudisha mashabiki wake baada ya kuachia ngoma yake mpya ijulikanayo kwa jina la ‘Kizungu Zungu’, ngoma imefanyika Laizer ndani ya Wasafi Record. Kuisikiliza official Audio yake  bofya hapa chini

Read More..

VideoMpya : Sitamani kutoka Mimi Mars

Post Image

VideoMpya : Sitamani kutoka Mimi Mars Kwa mara nyingine tena Mimi Mars kaachia single/ngoma yake ya tatu inayojulikana kwa jina la “Sitamani” iliyotayarishwa na maproducers  Ammy and S2kizzy kutoka Switch Records. Young Lunya ndiye aliyeandika nyimbo na video yake imetayarishwa jijini Dar es Salaam, Tanzania chini ya Mkurugenzi Joowzey. Bofya Play kuitazama video yenyewe hapa […]

Read More..

Rais Magufuli Amchangia Wastara Sh15milioni

Post Image

Rais John Magufuli na mkewe Janeth, leo wametoa msaada wa Sh15milioni kwa msanii wa filamu nchini, Wastara Juma anayetakiwa kwenda nchini India kwa matibabu. Msanii huyo anahitaji Sh37milioni zitakazogharamia matibabu yake ya mguu na mgongo na alitakiwa kwenda India tangu mwaka jana, lakini imeshindikana kutokana na kukosa fedha. Kiasi hicho cha fedha kilichotolewa na Rais […]

Read More..

Wema Sepetu ataja sifa za mwanaume anayemta...

Post Image

Msanii wa filamu, Wema Sepetu ameibuka na kudai kwamba yeye si mwanamke anayependa wanaume wenye uwezo mkubwa kama tuhuma dhidi yake zinavyoeleza. “Mimi napenda mwanaume anayejielewa,mwenye upendo na mchapakazi, ikitokea ana fedha itakuwa imetokea,lakini si mwanamke ninayependa pesa kuliko utu na mapenzi ya kweli,”alijinadi Wema Sepetu na kuongeza; “Unajua pesa sio kikwazo katika maisha yangu, […]

Read More..

RUBY:“Usijifanye jini kujua, wakati una s...

Post Image

Muimbaji wa Bongofleva Ruby bado watu wanasubiri kwa hamu ujio wake mpyaa baada ya kukaa kimya bila kutoa ngoma toka mwezi April 2017, kimya cha Ruby wengi hawakifurahi kutokana na wao kuamini kuwa Ruby ana uwezo mkubwa Mashabiki wengi kwa sasa wanasubiri ujio mwingine wa Ruby lakini leo muimbaji huyo ametoa ya moyoni mwake kupitia […]

Read More..

HERI MUZIKI NA DIVA: vipi tena?? “WAAMABIE”

Post Image

Ikiwa zimepita siku chache toka muimbaji wa Bongo Fleva Heri Muziki kuachia ngoma yake aliyowashirikisha Mwana FA na Mr Paul “Waambie” imeonekana kama mtangazaji Diva thee bawse ambaye ni mpenzi wake kuamua kutoa kipande cha Heri Muziki katika wimbo huo na kuweka sauti yake. Kutokana na hiki alichokifanya Diva thee Bawse lakini wimbo huo kimetafsirika […]

Read More..