VIDEO: Sirro Akoleza Moto Wakazi wa Mabonde...

Dar es Salaam: Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema watu wote wanaoishi mabondeni watoke mara moja kwa sababu kufanya hivyo ni kuhatarisha maisha na ambaye hatafanya hivyo atakamatwa. Akizungumza na waandishi wa habari leo (Jumanne), Sirro amesema tayari amewaagiza Ma OCD na wakuu wa upelelezi kuanza oparesheni hiyo mara […]
Read More..