VIDEO: Wastara Aibukia Kwenye Bongo Fleva

Msanii nyota wa filamu Tanzania Wastara ameanza kufanya muziki na tayari ameanza kuandaa albam yake. eNewz ya EATV imemshuhudia msanii huyo wa bongo movie akiwa anafanya video yake ya kwanza aliyowaimbia wanawake na kusema kuwa tayari ameshakamilisha albam yake ambayo ndani ya mwezi huu atakuwa ame’shoot’ video 3 kwa mpigo, na albam itakamilika mwezi Juni mwaka huu. […]
Read More..