-->

  1. 1
  2. 2
  3. 3
  4. 4
  5. 5
  6. 6
  7. 7
  8. 8
  9. 9
  10. 10

Wema Sepetu Ajiunga na CHADEMA Rasmi

Post Image

Chama cha Demokrasia na Maendeleo kunatarajia kuwakaribisha wanachama wapya waliojiunga leo na chama hicho akiwamo msanii maarufu nchini wa fani ya uigizaji wa filamu, Wema Sepetu (28). Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasilianio wa Chadema, Tumaini Makene amesema leo (Alhamisi) kuwa chama hicho kupitia Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe, baada ya kesi ya […]

Read More..

VIDEO: Jaydee Kutambulishwa Ukweni

Post Image

Mwanamuziki mkongwe katika muziki wa bongo fleva, Lady Jaydee amefunguka na kusema mwezi wa nne mwaka huu anategemea kutambulishwa ukweni kwa mchumba wake Spicy nchini Nigeria. Mbali na hilo Lady Jaydee amewataka watanzania pamoja na vituo mbalimbali vya radio kuacha uchonganishi kwa kuwapambanisha wasanii kwani kwa kufanya hilo ndiyo inajenga chuki na kufanya mashabiki waanze […]

Read More..

Irene Uwoya: Natamani Kuwa Mchungaji wa Kan...

Post Image

Muigizaji wa filamu Bongo, Irene Uwoya, amesema ndoto yake kubwa tangu akiwa mtoto ni kuwa mchungaji wa kanisa. Akiongea kwenye Kikaango Live cha EATV, Uwoya amedai kuwa tangu akiwa mdogo alikuwa akiomba aje kuwa mchungaji kitu ambacho hata mama yake anajua. Anadai kuwa alikuwa na uwezo hata wa kumuombea mtu na mambo yake yakanyooka. Na […]

Read More..

Lissu Kumtetea Wema

Post Image

Dar es Salaam. Wakati Wakili Tundu Lissu akijitokeza kumtetea msanii maarufu wa fani ya uigizaji wa filamu, Wema Sepetu katika kesi ya kukutwa na bangi, mrembo anayepamba video za wasanii nchini, Agnes Gerald maarufu Masogange (28) amepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kutumia dawa za kulevya. Lissu ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), alijitokeza […]

Read More..

Jide Ataka Kulinda Heshima

Post Image

MKONGWE wa Muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura maarufu kama Lady Jaydee, amesema uzinduzi wa albamu yake ya saba unalenga katika kulinda heshima yake katika sanaa alikodumu kwa miaka 16 sasa. Albamu hiyo, Woman itazinduliwa mwezi ujao katika eneo ambalo bado halijatajwa na itahusisha baadhi ya nyimbo zake zinazovuma hivi sasa kama Ndindindi, Together na […]

Read More..

Dawa za Kulevya Zimewashusha Wasanii- Izzo ...

Post Image

RAPA Izzo Bizness, anayetamba na wimbo wa ‘Umeniweza’, ameweka wazi kwamba dawa za kulevya ndizo zilizoshusha viwango vya baadhi ya wasanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini. Izzo alidai hataki kuingia ndani zaidi katika masuala hayo, lakini anaamini wasanii wengi wa muziki huo wameshuka viwango vyao vya kuimba na kutunga kutokana na matumizi ya dawa […]

Read More..

Kesi ya Wema Sepetu Upelelezi Haujakamilika...

Post Image

Malkia wa filamu Wema Sepetu Jumatano hii alirudi Mahakamani baada ya kuachiwa kwa dhamana kwenye sakata la dawa za kulevya. Kesi hiyo imeahirishwa baada ya upande wa mashtaka kusema upelelezi haujakamilika hivyo kesi hiyo imepangwa kusikilizwa 15 March 2017. Muigizaji huyo ni mmoja kati ya wasanii ambao walitajwa kwenye list ya mkuu wa mkoa wa […]

Read More..

VIDEO: Ray C Akumbana na ‘Majanga’ Mengine

Post Image

Msanii wa bongo fleva Ray C amefukuzwa kwenye lebo ya wanene Enterteiment baada ya kauli ya yake aliyodai  kwamba hajasaini na lebo yeyote. Akionge kupitia eNewz ya EATV, Maneja wa Wanene Enteriment Gentris amesema kuwa Ray C alikuwa kwenye hatua za mwisho kuweza kusajiliwa katika lebo ya Wanene ila alikosea baada ya kupewa demo ya nyimbo yake […]

Read More..

TCRA Yazungumzia Jinsi ya Kuhama Mtandao wa...

Post Image

Dar es Salaam.Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano (TCRA) imezindua mpango wa elimu kwa umma kuhusu hudumu ya kuhama mtandao mmoja wa simu kwenda mwingine bila kubadili namba ya simu ya kiganjani (MNP). Akizindua mpango huo leo Jumatano asubuhi, Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi James Kilaba amesema lengo ni kuwapa uhuru wateja kutumia mtandao bora zaidi, […]

Read More..

Fid Q Afungukia Kupiga Chini Gemu

Post Image

MWANAMUZIKI mwenye jina kubwa katika Muziki wa Hip Hop Bongo, Farid Kubanda ‘Fid Q’ hivi karibuni amefunguka kuwa yeye si wa kuacha muziki leo wala kesho maana muziki ni sehemu ya maisha yake na ataufanya mpaka pale Mungu mwenyewe atakapoamua kuwa aachane nao. Akichonga na Uwazi baada ya kuuliza juu ya kuachana na muziki siku […]

Read More..

VIDEO:Mzee wa Upako Achumbua Wimbo wa ̵...

Post Image

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ ameichambua ngoma wa msanii wa bongo fleva, Darassa inayokwenda kwa jina la Muziki, na kusema kuwa msanii huyo ameimba vitu vya maana sana kwenye ngoma hiyo. Mchungaji Lusekelo ambaye amewahi kunukuliwa akitumia maneno ya wimbo huo na nyingine kadhaa za bongo fleva katika mahubiri […]

Read More..

Ostazi Juma na Musoma Anajifunza Nini Kwa F...

Post Image

KUNA watu wamepata umaarufu katika namna ya kuchekesha kidogo. Unamkumbuka yule aliyejiita Mganga wa Diamond? Katika namna isiyotarajiwa, eti ghafla na yeye akawa maarufu tena maarufu sana. Kila eneo akasifika. Kuanzia kwenye blog, magazeti hata katika baadhi ya vipindi vya televisheni akawa anatajwa kila wakati. Ila sasa yuko wapi? Yale maneno na ahadi alizotoa juu […]

Read More..

Mr. T Touchez Amleta Rasmi Harmorapa (VIDEO...

Post Image

Zikiwa zimepita wiki mbili sasa tangu rapa anayechipukia Harmorapa kukutana na producer anayefanya vyema kwa sasa kwenye sekta ya muziki Mr. T Touchez na kufanya kazi pamoja inasemekana kazi ya rapa huyo iko tayari kwenda mtaani hivi sasa. Producer T Touchez amefunguka na kusema kazi hiyo imekamilika kila kitu na sasa ipo tayari kwenda kwa wananchi […]

Read More..

Serikali Kuandaa Sera Itakayosaidia Sheria ...

Post Image

Dar es salaam.Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema itaanza kukusanya ya wadau wa filamu ili kuandaa sera itakayosaidia kutengeneza sheria mpya itakayosimamia tasnia hiyo kulingana na mazingira ya sasa. Zoezi la ukusanyaji wa maoni litahusisha makundi mbalimbali wakiwemo watayarishaji, waigizaji na wasambazaji wa filamu. Akizungumza kwenye kikao cha kujadili changamoto na mwelekeo wa […]

Read More..

Simkubali Fid Q kwa Hili – Young Killer

Post Image

Rapa Young Killer Msodoki amefunguka na kusema hajawahi kumkubali rapa Fareed Kubanda  Fid Q kwenye kufanya mitindo huru kwa kuwa hajawahi kumuona mkali huyo wa hip hop Bongo akifanya mitindo huru. Young Killer alisema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio na kusema yeye anawakubali sana Nikki Mbishi, Godzilah pamoja na […]

Read More..

Video: Gigy Atoboa Kisa cha Kugombana na Mp...

Post Image

Mtangazaji wa kipindi cha Lavidavi cha ChoiceFm, Gigy Money amefunguka kwa kueleza kilichosababisha akagombana na mpenzi wake Mo J na jinsi walivyomaliza ugomvi wao. Akiongea na Bongo5 wiki hii, Gigy amedai aliumizwa na kitendo cha kupigwa na mpenzi wake huyo baada ya kugundua amechepuka. “Kuna mambo yalitokea, Mo J alichepuka mimi nikamshtukia, kwa baada ya […]

Read More..

VIDEO:Ray C Amtaja Mpenzi Wake wa Kwanza

Post Image

Msanii wa muziki wa bongo fleva Ray C amefunguka na kusema katika maisha yake alianza mahusiano ya mapenzi akiwa na umri wa miaka 16 na kusema alikuja kuachana na mtu wake wa kwanza kutokana na mambo ya ujana. Mbali na hilo Ray C alizungumzia juu ya ujio wake mpya na kusema wiki ijayo atafanya video […]

Read More..

Mbowe Akamatwa na Polisi, Afikishwa Kituo c...

Post Image

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe, leo Februari 20, 2017 amekamatwa na Jeshi la Polisi, Dar es Salaam wakati akienda kujisalimisha kwa ajili ya mahojiano kufuatia Mkuu wa Mkoa wa Dar, Pal Makonda kumtaja kwenye sakata la madawa. Kamanda wa Polisi Kanda maalumu Dar es Salaam Simon Sirro amethibitisha kukamatwa kwa Mwenyekiti Freeman Mbowe. Mwenyekiti wa Chadema […]

Read More..