Idris Sultan Asimulia Nafasi Aliyocheza Kwe...

MCHEKESHAJI maarufu Bongo na aliyekuwa mshiriki wa shindano na ‘Big Brother Africa’, Idris Sultan amefunguka amefunguka kwa kuwaonjesha mashabiki wake uhusika aliouvaa kwenye filamu ya ‘Kiumeni’. Kupitia mtandao wa Instagram, Idris amesimulia kwa kuandika, “Humu ndani nauza madawa kwahiyo nina mpunga wa kumwaga halafu nipo kitaa, demu wangu wa zamani anakuja na mwanaume kumtambulisha kwao na […]
Read More..