-->

Petit Man Alia na Waliovujisha Picha Zake za Mahaba na Mobeto!

SIKU chache baada ya baba mzazi wa mtoto wa mwanamitindo, Hamisa Mobeto, kujitokeza hadharani na kukiri mtoto ni wake, ghafla, katika hali ya kushangaza zikasambaa picha mitandaoni zikimuonyesha mwanamitindo huyo akiwa katika pozi za mahaba na mdau wa muziki, Petitman Wakuache. Baada ya kuziona picha hizo Petit ameibuka na kutoa kauli nzito.

PETITMAN ANENA!

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Petit alipost picha akiwa na mke wake Esma ambaye ni wifi yake Mobeto,kwa sababu anazaliwa mama mmoja na baba mtoto wake. Na kuandika ujumbe ufuatao:

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364