Picha: Maisha ya Harmonize na Wopler, Kama Bibi na Bwana
Wapenzi wawili Harmonize pamoja na Jacqueline Wolper wanaendelea kuuonyesha umma jinsi wanavyopendana.
Wawili hao Alhamisi hii walienda shopping pamoja na kufanya manunuzi ya vitu mbalimbali katika Mall moja hapa jijini Dar es salaam.
Hivi karibuni mwigizaji huyo alipost picha akiwa jikoni huku akiandaa chakula kwa ajili ya muimbaji huyo wa wimbo Matatizo.
Harmonize akimkabidhi maharage Wopler
Hali hiyo imezua tetesi katika mitandao ya kijamii kuwa huwenda wawili hao wakawa wanaishi pamoja.
Angalia picha za mastaa hao walifanya manunuzi katika moja ya Mall hapa jijini Dar es salaam.
Bongo5