Mamia ya wakazi wa Lodwar, Turkana Kenya walijitokeza hiyo jana kumpokea mkali wa muziki wa Afro-Pop kutoka Tanzania, Diamond Platinum ambaye alikutua mapema hiyo jana kwenye uwanja wa ndenge wa Lodwar.
Hizi ni baadhi ya picha za mapokezi hayo.
Comments
comments