Artists News in Tanzania

Picha: Meninah Afunga Ndoa Tena

Staa wa bongo Fleva alieibukia kwenye BSS, Meninah  La Diva, amefunga ndoa tena na mwanaume mwingine.

Hiyo inamaanisha kuwa ndoa yake na Peter Haule, mtoto wa Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo iliyofungwa mwaka jana imevunjika. Haijulikani sababu ya kuvunjika kwa ndoa hiyo.

Peter alibadilisha dini na kuwa muislamu ili kumuoa Meninah na kuanza kutumia jina la  Abdulkareem. Hadi sasa bado Meninah anatumia jina la Meninah Abdulkareem.

Muimbaji huyo amepost picha ya ndoa yake mpya Instagram na kuandika:

Bongo5

Comments

comments

Exit mobile version