Artists News in Tanzania

Picha: Richie Ajikita Kwenye Uchimbaji wa Madini

Staa mkongwe wa Bongo Movies, Single Mtambalike ‘Richie’ amewadokeza mashabiki wake kuwa mbali na uigizaji na utengenezaji wa filamu huwa anajishughulisha na uchimbaji wa madini.
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, Richie amebandika picha akiwa majimbona na wawekezaji na kuandika;
“Wakati mwingine najihusisha na uchimbaji madini.”Kisha akaendelea;
“Karibuni sana wawekezaji nina maeneo ya kutosha yenye mali nyingi tatizo fifaa vya kutosha.”

Hizi ni baadhi ya picha

Comments

comments

Exit mobile version