Picha: Shamsa Ford Afunga Ndoa na Chidi Mapenzi Leo editor 8 years ago Leo staa wa Bongo Movie, Shamsa Ford filamu anafunga ndoa na mfanyabiashara wa nguo, Chidi Mapenzi.nyumbani kwao Sinza Afrikasana jijini Dar es salaam. Tunawatakia kheri na baraka katika ndoa yao. Comments commentsSee more