-->

Picha: Shamsa Ford Amuweka Wazi Aliyechukua Nafasi ya Nay wa Mitego

Staa mrembo kutoka bongo movies,  Shamsa Ford baada ya kupigana chini na mkali wa bongo fleva Nay wa Mitego na kuapa kutomwanika tena mpenzi wake mpya katika mitandao ya kijamii, Jumamosi hii hali imemshinda na kuanza kushare picha mbalimbali akiwa na mtu wake wa karibu.
mmk

Muigizaji huyo mahiri wa filamu ambaye ni mama wa mtoto mmoja, miezi michache iliyopita baada ya kuachana na Nay wa Mitego, aliaambia Bongo5 kuwa hatarudia tena kushare picha za mpenzi wake katika mitandao ya kijamii.

Mrembo huyo Jumamosi hii ameshare picha mbalimbali katika mtandao wa kijamii akiwa na mtu wake wa karibu na kuandika ujumbe huu:

Kuna muda unaweza ukafanya kitu mtu akakuona mshamba au limbukeni. Ila ukweli ni kwamba hakuna mtu anaweza jua hisia za mwenzie anavyojisikia kwa wakati ule zaidi ya yeye mwenyewe. .TUHESHIMU HISIA ZA WENZETU. …I love you a man of my dream…NICE Saturday

4K0A7304

mm

Baada ya kupost ujumbe huyo, mashabiki wake katika mitandao ya kijamii wamekuwa na maoni haya.

Winfridajames120

Dashamsa mbona una mficha shemeji ukiibiwa utaanzakulala mika Oooh nimeibiwa na wakati utaki kumtambulisha watu wamjue mapema

Halimarashidimbwed
Ila huyu ni Ney bhana.. Hhhh ila kama ni Ney kweli umempenda simalizii maneno mpaka ni prove ndiye…. Nitatomboka siku hiyo ila yenye heri tu kwani kuna picha nimelisoma nitalidadavua @shamsaford

iam_innocentshayo

Yaaa inajua ifike muda mjue kuwa naye pia ni mwanadamu,, anapenda awe na mtu anayempenda na kumjali,,, ni ngumu kusema asipendwe au asiwe na mpenz kisa nyie mashabiki au jamiii,, basi muacheni afanye yampasayo mwanadamu kufanya yeye si robot,, kama akiwa na wanaume wengi ni yeye,, kama akiwa uchi ni yeye,, maana ndo ilipo furaha yake,, muacheni afurahi msimhukumu maana hamna malaika hapa duniani

betywaukweli
Hv mnataka aishi bila mwanaume?nyie hamna wenu?au kwakuwa yeye star?nyie kubadili kila cku na c kubali kuwa wazi mnao rundo .kila mtu na yake.mlitaka avae mashungi kwani kazoea?clna hapo uchi uko wp au kisa kalala na huyo?sh jmn mlitaka alale na ushungi?

Chanzo:Bongo 5

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364