Picha: Usiku wa ‘Muzika Vestival’ Mwanza, Tekno, Juma Nature na Ommy Dimpoz Wafanya Kweli

Kwenye usiku wa Valentine Day Mwanza nao walikuwa na burudani ya nguvu kutoka kwa mastar wa Nigeria na hapa Tanzania, Nigeria Tekno na Seyi Shay wametoa burudani kwa mara ya kwanza kwa watu wangu wa Mwanza hapa nyumabni tulikuwa na wakali Juma Nature na Ommy Dimponzi, Muzika festival ndio walitusogeza jembe beach pamoja kutazama burudani ya nguvu…team ya millardayo.com imezipata picha za tukio karibu kuzitamaza.
Watu wangu na shangwe la Muzika Festival
Juma Nature akawasili Muzika Festival
Ommy Dimpozi na Seyi Shay
MillardAyo.com