Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma ambaye yupo nchini India kwa matibabu amebandika picha hizi kwenye ukursa wake mtandaoni akiwa anafanya mazoezi ya kutembea kama anavyonekana hapo chini.
Training zinapoamia barabrani india lazima uisome number kuna mawili Maskio kuziba kwa honi za magari na pikipik au kuludi umepigwa pasi za mwili-Wastara