Artists News in Tanzania

Picha: Zari All White Ciroc Party Jana Usiku jijini Kampala

Hizi ni baadhi ya picha za Zari All White Ciroc Party  iliyofanyika jana usiku kwenye club Guvnor jijin Kampala.

Zari ambaye ni mpenzi wa Diamond Platinumz ndiye muhusika mkuu wa party hii ambapo watu maarufu  wa hapa Afrika mashariki walikuwepo akiwemo mwanadada Vera Sidika.

Zari All White Ciroc Party

Zari All White Ciroc Party

Picha Kutoka @zarithebosslady on Instagram

Comments

comments

Exit mobile version