Picha:Hiki Ndicho Alichokifanya Diamond Ndani ya Dar Live
Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alifanya shoo baab’kubwa usiku wa kuamkia jana kwenye Ukumbi wa Dar Live, Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.
Na hizi ni baadahi ya picha za shoo hiyo.