Picha:Madam Flora Afunga Ndoa Leo na Daudi Kusweka
Manamuziki maarufu wa nyimbo za Injili, Flora Flora, ambaye ni mjukuu wa aliyekuwa muhubiri maarufu nchini, Askofu, Moses Kulola (sasa marehemu), amefunga ndoa leo tarehe 30/04/2017 jiji Mwanza na mchumba wake Daudi Kusweka.
Hizi ni baadhi ya picha za harusi hiyo.