Picha:Tunda Man Afunga Ndoa Rasmi
Mkali wa Bongo Fleva kutoka Tip Top Connection, Tunda Man amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwae Sabrah. Ndoa imefungwa Ijumaa ya jana mkoani Morogoro nyumbani kwa Bi Sabrah, ilihudhuriwa na mastaa wa muziki kutoka Tip Top Connection. Hizi ni baadhi ya picha.