Artists News in Tanzania

Picha:Tunda Man Afunga Ndoa Rasmi

Mkali wa Bongo Fleva kutoka  Tip Top Connection, Tunda Man amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwae Sabrah. Ndoa imefungwa Ijumaa ya jana mkoani Morogoro nyumbani kwa Bi Sabrah, ilihudhuriwa na mastaa wa muziki kutoka Tip Top Connection. Hizi ni baadhi ya picha.

Madee (kutoka kulia), Tunda Man na mke wake (katikati’ Kassim Mganga pamoja na Dogo Janja

Madee akiwa na shemeji yake

Comments

comments

Exit mobile version