PICHAZ: Diamond Anunua Hammer Sauzi
STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul maarufu Diamond Platnumz ameonyesha gari lake jipya aina ya Hammer alilolinunua kwa ajili ya shughuli zake akiwa nchini Afrika Kusini.
Diamond na familia yake (mama watoto wake na watoto wawili) wanaishi nchini Afrika Kusini.
Kupitia Instagram yake amepost picha za gari hilo na kuziwekea caption inayosema: @zarithebosslady kidogo changu mimi nawe, kikubwa cha Barabuu… Mali zao zisifanye upagawe ukaniweka Roho juu…. so proud to have you mama, tukutane kwenye kuliwakilisha Taifa kwenye Mashuka leo? @zarithebosslady ?