Pichaz: Joti Kwenye Send off ya Mchumba Wake
Mchekeshaji maarufu Joti yupo njiani kuuaga ukapela baada ya leo kuonekana kwenye sherehe za kuagwa kwa mchumba wake.
Kupitia kwenye ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram joti amethibitisha kuwatukio hili sio tangazo bali ni kweli
“Mala paaah??? Walijua Tangazo la TIGO kumbe kweli?????”