-->

Pichaz: Je Ni Kweli Lady Jaydee Amefunga Ndoa na Rasta Huyu?

Huenda Lady Jaydee akawa amepata mwanaume wa kumkabidhi moyo wake. Tangu aachane na mume wake, Gardiner G Habash, muimbaji huyo mkongwe hajawahi kuonekana na mwanaume aliyehisiwa kuwa ni mpenzi wake. Na sasa kwa picha alizoweka Instagram, uwezekano wa kuwa amerejea kupenda tena ukawa ni mkubwa.

jidee08

Na tena kwa anachokiandika mwenyewe kwenye Instagram, Jide anamaanisha kuwa amefunga ndoa tayari! “Big shout out kwa Coastal air
Kwa kufanikisha safari yangu kwenda honeymoon #ZanzibarIsland,” ameandika Jide kwenye picha akiwa amesimama pembeni ya ndege waliyokodi na mwanaume huyo ambaye ni mgeni machoni pa wengi.

jidee98

Kwenye picha nyingine hiyo juu, Jide ameandika: Thank you Serena Hotel for the amazing dinner ? we really enjoyed #ZanzibarIsland.”

jidee022

Pia rafiki yake wa siku nyingi, Monica Joseph ameweka picha za wawili hao na kuandika: My BFF is better than yours .. looking Good My People .. Love Lives here.”

jidee002

Ni kweli Jide amefunga ndoa? Majibu yatapatikana punde!

Bongo5

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364