Akiwa nchini Hispania, mkali wa bongo fleva, Ommy Dimpoz amekutana na mchezaji nyota wa nyota wa Manchester United na timu ya uingereza, Wayne Rooney na familia yake kwenye kisiwa cha Ibiza nchini humo.
Ommy dimpozi ameweka picha hizi na video mtandaoni.
Comments
comments