-->

Pichaz: Walichokifanya Wasafi Hiyo Jana, Jangwani Seabreez

Mkali wa bongo bongo fleva  Diamond akiwa na wasinii kutoka kwenye lebel yake ya WCB walifanya show kubwa iliyojulikana kwa jina la vodacom Wasafi Beach party iliyofanyika jana, Jangwani Seabreez.

Hizi ni baadhi ya picha za show hiyo

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364