Jana katika kusherekea sikukuu ya Christmas,timu nzima ya WCB na wasanii wake wakiongozwa , Diamond Platnumz, walioangusha show kubwa kwenye viwanja vya Samora mjini Iringa.
Picha zinaonesha jamaa walivutia nyomi ya kutosha. Jione picha hapo chini.
Comments
comments