Artists News in Tanzania

Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa ( full video )

Leo June 12 2017 ndio ilikua siku ya Rais Magufuli kuipokea Ripoti ya pili ya mchanga wa madini ambao Makontena yake yalizuiwa kusafirishwa kwenda nje ya Tanzania.. hii video hapa chini itakukutanisha na kila alichosema na kuonyesha hisia zake

Comments

comments

Exit mobile version