Richie na Lulu Watua Lagos, Nigeria Kwenye Tuzo za AMVCA 2016
Mastaa wa Bongo Movies, Single Mtambalike ‘Richie’ na Elizabeth Michael ‘Lulu’ wameshatua jijini Lagos, Nigeria kwaajili ya kuhudulia utoaji wa tuzo za filamu za Africa Magic Viewers Choice Awards zitakazo fanyika siku ya leo jijini humo.
Richie anawania tuzo katika kipengele cha Best Movies-East Africa kupitia filamu yake ya KITENDAWILI wakati Lulu naye anawania tuzo katika kipengele hicho hicho cha Best Movies-East Africa kupitia filamu ya MAPENZI ya MUNGU.
Tunawatakia kila la kheri.