-->

Shilole Akanusha Kumfahamu Msanii Huyu

Msanii wa bongo fleva Shilole amesema hajawahi kuwa na msanii zaidi ya Gaucho katika kampuni yake ya Shilole Entertainmet na hamfahamu wala kumjua Mona Star.

Shilole-4

Akiongea kupitia eNewz Shilole amesema Gaucho ni mdogo wake na hajawahi kuwa na mahusiano yeyote ya kimapenzi zaidi ya mahusiano ya kikazi na swala la mapenzi haliwezi kutokea baina yao kwa kuwa tayari Shilole ana bwana yake, na kwamba Gaucho ni msanii wake tu.

Hata hivyo Mona Star alisema alianza kufanya kazi kwa Shilole kama dansa na baadaye akamchukua kama msanii wake na alimuahidi kuwa kila atakapokuwa anapanda stejini watatangulia wao kwanza baadaye ndipo Shilole apande lakini hata hivyo Gaucho alisema hamfahamu na hajawahi kufanya kazi na Mona Star

eatv.tv

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364