Artists News in Tanzania

Shilole, Vanessa Wamaliza Bifu Lao

WAREMBO wanaofanya vyema kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Vanessa Mdee, usiku wa kuamkia leo wameweza kuvunja bifu lao ambalo limekuwa likivuma kwenye mitandao ya kijamii baada ya kukamua kwenye steji moja ndani ya ukumbi wa Bilicanas.

shilole11

Shilole (kulia) akipashana jukwaani na Vanessa kabla ya shoo hiyo kuanza.

Vanessa na Shilole wakijaribu kuelezea juu ya bifu lao.

Shilole akifanya makamuzi.

Vanessa akikamua jukwaani.

Comments

comments

Exit mobile version