Artists News in Tanzania

Sikuwahi Kujua Roma ni Msanii-Mke wa Roma (VIDEO)

Mke wa msanii Roma Mkatoliki amefunguka na kusema kuwa kwa mara ya kwanza alikutana na Roma Mkatoliki kwenye sherehe za kumnio na kudai msanii huyo alitambulisha kama Ibrahim na kusema kipindi hicho hakujua kama Roma ni msanii.

Mke wa Roma Mkatoliki Nancy amesema hayo jana kupitia kipindi cha Friday Night Live (FLN) na kusema alikuja kujua kuwa ni msanii baada ya muda kupita siku ambayo msanii huyo alikuwa na show Coco Beach.

Comments

comments

Exit mobile version