-->

Soggy : Wasanii Bongofleva Hawana Topic za Kuimba

Msanii mkongwe, Soggy dog ,anampongeza saana aliyetunga muziki wa singeli lakini anachojua ni kwamba singeli haiwezi kuitanganza nchi kimataifa kwa kuwa ni muziki ambao unapendwa na baadhi ya jamii zinazotuzunguka

soggy34

Soggy dog

Unakumbuka ile hit song kibanda cha simu???? Umeshawahi kujiuliza homeboy Soggy Dogg yuko wapi now? Jamaa amerudi kwa hasira na kudiss kuwa hakuna muziki sasa, especially Singeliiiiiii……

Soggy alisema kwa sasa wasanii wa bongo fleva hawana topic za kuimba huwa wanaingia tu studio na kuamua waimbe kitu fulani na mwisho wake wimbo unakaa sokoni miezi miwili hausikiki tena.

Hata hivyo Soggy ameiambia enews kuwa kwa sasa wasanii wanaoimba bongo ni wachache saana akiwemo Rama D lakini hawa wengine wote wanaigana igana tu nahata ukisikiliza nyimbo zao hazina tofauti yeyeto kitu kinachzidi kudidimiza bongo fleva.

eatv.tv

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364