Style mpya ya mbunge, mnakutana kijiweni unamuuliza swali.
chery
Mbunge wa Nyamagana Mwanza Stanslaus Mabula ameamua kutumia style ya kipekee kukutana na wananchi wake kwenye kijiwe cha kahawa Mabatini Mwanza na kujibu maswali ya ahadi zake kwa miaka miwili tangu awe Mbunge.