-->

Tag Archives: AY

Zari saa chache baada ya picha ya Hamisa na...

Post Image

Baada ya muimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz na mzazi mwenzake Hamisa Mobetto kufikishana Mahakamani wiki iliyopita inadaiwa kuwa mambo yao yapo sawa kwa sasa na wamemaliza tofauti zao, hiyo ni baada ya kusambaa kwa picha za official videographer wa Diamond Platnumz ambaye ni Lukamba kusambaa kwa picha mtandaoni akiwa na Hamisa. Kitendo cha Lukamba kuonekana kumfanyia photoshoot Hamisa kimeanza kuhusishwa kuwa Diamond na Hamisa wapo sawa kwa sasa ndio maana Lukamba ameonekana […]

Read More..

AY kafunga ndoa ya siri Rwanda?

Post Image

February 11, 2018 nikusogezee stori ya Staa Mkongwe wa Bongofleva Ambwene Yesaya ambaye wengi tunamfahamu kama AY  hii stori inatokea nchini Rwanda February 10, 2018 zime-trend picha na habari katika mitandao ya kijamii kuwa staa huyo kafunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Remy. AY ameripotiwa kufunga ndoa nchini Rwanda ambapo ndio nyumbani kwa mchumba wake Remy, inaripotiwa kuwa harusi ya AY […]

Read More..

AY: Nyimbo ya Ditto “Nabembea” ...

Post Image

Msaani maarufu Ambwene Yesaya anayejulikana kama “AY” ameamua kuweka hisia zake hadharani kuhusu wimbo wa msanii Ditto ‘Nabembea’ ambapo amesema kuwa ni wimbo bora na utaishi miaka mingi kwenye game ya Bongofleva.. AY ambaye amepost kwenye ukurasa wake wa Twitter kwa kuandika hivi..>>>”Nimechelewa kuusikia wimbo wa Lameck Ditto ‘Nabembea’ kama na wiki kadhaa ila kiukweli ni wimbo Bora […]

Read More..